Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,151
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe link unayotumia kufanya streaming live
Mimi huwa napenda ku search livestream kupitia Ronaldo7.net. Pia waweza search kwa style kama hii: mfano leo wamecheza Man city na Chelsea, uta search kutumia browser - Man city Chelsea Livestream Ronaldo7. Utapata link ya ronaldo7.net ambayo itakuwa na page yenye links tofauti tofauti zinazorusha livestream ya mechi tajwa. Ukiwa unatumia computer mara nyingi huwa source ya malware na viruses kibao. Hivyo una vulnerable.
kumbe tupo wengi, yaan nasikilizia matokeo kwenye magazeti na rediotupe maelezo sasa... maana mi toks ligi ianze sijaona mechi hata moja...
kumbe tupo wengi, yaan nasikilizia matokeo kwenye magazeti na redio
bila shaka leo ndio umeangallia epl kwa mara ya kwanza ukiwa nyumbani ndio ukaona ushirikishe wana jf mihemko yako bila kuwaambia hiyo streamin umeipataje!
Link huwa zinabadilika badilika kila mara jaribu ku search na google kila mechi unaytaka kuangaliatupe maelezo sasa... maana mi toks ligi ianze sijaona mechi hata moja...
Link huwa zinabadilika badilika kila mara jaribu ku search na google kila mechi unaytaka kuangalia