Nani kashuhudia eclipse ya leo asubuhi?

Nani kashuhudia eclipse ya leo asubuhi?

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,433
Reaction score
1,176
Habari,
Leo asubuhi kulikuwa na utando mwekundu angani--Kuna mtu mwingine ameshuhudia hili jambo leo?
TMA-au mwenye ujuzi inamaanisha nini? Na kwanini itokee asubuhi?
 
Mbna hvo vtu mnaonaga nyny tu ..vp imetoke wapi dar au mkoani...?
 
Habari,
Leo asubuhi kulikuwa na utando mwekundu angani--Kuna mtu mwingine ameshuhudia hili jambo leo?
TMA-au mwenye ujuzi inamaanisha nini? Na kwanini itokee asubuhi?
kutakuwa na vita ya hapa na pale na umwagaji damu
 
Hii kitu imeongolewa sana kwenye mitandano - lunar eclipse, kama uliiona hongera.
 
Back
Top Bottom