kutakuwa na vita ya hapa na pale na umwagaji damuHabari,
Leo asubuhi kulikuwa na utando mwekundu angani--Kuna mtu mwingine ameshuhudia hili jambo leo?
TMA-au mwenye ujuzi inamaanisha nini? Na kwanini itokee asubuhi?
Weka picha mzeeHabari,
Leo asubuhi kulikuwa na utando mwekundu angani--Kuna mtu mwingine ameshuhudia hili jambo leo?
TMA-au mwenye ujuzi inamaanisha nini? Na kwanini itokee asubuhi?
sikufanikiwa kupiga picha Bujibuji Simba NyanaumeWeka picha mzee