Louis II
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 3,030
- 4,647
Kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini chini ya uongozi wa Rais Magufuli, kuna baadhi ya Watu hasa wanasiasa wa upinzani wanadhani serikali hii haifai na Rais aliyepo hamudu hiyo nafasi
.
.
Swali ni je,wao wamejipangaje kukabiliana na Rais Magufuli hapo 2020?? Na je,wewe unadhani nani ataweza kumtoa jasho jiwe kati ya hawa???
1.Freeman A. Mbowe
2.Edward N. Lowassa
3.John Mnyika
4.Tundu A. Lissu
My take: Tundu Lissu anafaa coz amejijengea political personality kubwa hasa katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Magufuli pamoja na matukio mabaya yaliyomtokea ambayo kimsingi yamemjengea political sympathy na popularity kubwa kwa Watanzania