Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jinga kabisa na weweHuyo jamaa hana Ethics na bado hajatambua hilo
Ungekuwa mjanja usingeonesha upumbavu wako toka mwanzo, kama hutaki kukosolewa bora ukae kimyaacha unafiki na kutaka kujifanya wewe ni great thinker,kama upo sawa kichwani ungechangia hoja za mleta uzi na si kujifanya mkosoaji wa comment za watu,so sad and shame to have around such a stupid as you!
Tatizo la kupokea viposho kutoka Lumumba....wengi wenu mnadanga mjini...mpo kama mandondocha tuwewe una hadhi gani?
je hadhi yako ina faida kwa familia yako?
maana mimi hainisaidii,though najua hauna hadhi yeyote,fuata mkumbo tu..
we boya kweli yani,nahisi unanitafutia ban eeh?Ungekuwa mjanja usingeonesha upumbavu wako toka mwanzo, kama hutaki kukosolewa bora ukae kimya
nina uwezo wa kukulisha wewe,mkeo na wanao kwa mwaka mzima na usiamini...acha kuwakadiria watu.Ta
Tatizo la kupokea viposho kutoka Lumumba....wengi wenu mnadanga mjini...mpo kama mandondocha tu
Kila la kheri mkuuwe boya kweli yani,nahisi unanitafutia ban eeh?
Kwa NEC hii hii au nyingine?Kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini chini ya uongozi wa Rais Magufuli, kuna baadhi ya Watu hasa wanasiasa wa upinzani wanadhani serikali hii haifai na Rais aliyepo hamudu hiyo nafasi
.
.
Swali ni je,wao wamejipangaje kukabiliana na Rais Magufuli hapo 2020?? Na je,wewe unadhani nani ataweza kumtoa jasho jiwe kati ya hawa???
1.Freeman A. Mbowe
2.Edward N. Lowassa
3.John Mnyika
4.Tundu A. Lissu
My take: Tundu Lissu anafaa coz amejijengea political personality kubwa hasa katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Magufuli pamoja na matukio mabaya yaliyomtokea ambayo kimsingi yamemjengea political sympathy na popularity kubwa kwa Watanzania
Kwa Tume ipi na hao wakuu wa vituo wakiwa ni wakurugenzi wa manispaa?Kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini chini ya uongozi wa Rais Magufuli, kuna baadhi ya Watu hasa wanasiasa wa upinzani wanadhani serikali hii haifai na Rais aliyepo hamudu hiyo nafasi
.
.
Swali ni je,wao wamejipangaje kukabiliana na Rais Magufuli hapo 2020?? Na je,wewe unadhani nani ataweza kumtoa jasho jiwe kati ya hawa???
1.Freeman A. Mbowe
2.Edward N. Lowassa
3.John Mnyika
4.Tundu A. Lissu
My take: Tundu Lissu anafaa coz amejijengea political personality kubwa hasa katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Magufuli pamoja na matukio mabaya yaliyomtokea ambayo kimsingi yamemjengea political sympathy na popularity kubwa kwa Watanzania
Tunamjua huyu mlamba nyao na visigino vya mkuluHalafu anajidai eti hana chama kumbe kidudu mtu wa Lumumba
====Kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini chini ya uongozi wa Rais Magufuli, kuna baadhi ya Watu hasa wanasiasa wa upinzani wanadhani serikali hii haifai na Rais aliyepo hamudu hiyo nafasi