Uchaguzi 2020 Nani kati ya hawa anafit kuchuana tena na Rais Magufuli 2020 (UKAWA)

acha unafiki na kutaka kujifanya wewe ni great thinker,kama upo sawa kichwani ungechangia hoja za mleta uzi na si kujifanya mkosoaji wa comment za watu,so sad and shame to have around such a stupid as you!
Ungekuwa mjanja usingeonesha upumbavu wako toka mwanzo, kama hutaki kukosolewa bora ukae kimya
 
Reactions: Cyb
Ta
wewe una hadhi gani?
je hadhi yako ina faida kwa familia yako?
maana mimi hainisaidii,though najua hauna hadhi yeyote,fuata mkumbo tu..
Tatizo la kupokea viposho kutoka Lumumba....wengi wenu mnadanga mjini...mpo kama mandondocha tu
 
Ta

Tatizo la kupokea viposho kutoka Lumumba....wengi wenu mnadanga mjini...mpo kama mandondocha tu
nina uwezo wa kukulisha wewe,mkeo na wanao kwa mwaka mzima na usiamini...acha kuwakadiria watu.
 
nina uwezo wa kukulisha wewe,mkeo na wanao kwa mwaka mzima na usiamini...acha kuwakadiria watu.
Hahahaah duh mkuu umetisha......bora tu ukae kimya....yani wewe mburura wa kuweza bajeti ya familia yangu kweli
 
Kwa NEC hii hii au nyingine?
 
Kwa Tume ipi na hao wakuu wa vituo wakiwa ni wakurugenzi wa manispaa?
 
Hata aje Yesu bado ma ccm yataiba kura na kumtangaza msengeee wao... Kama 2015 walivyofanya
 
====

Hao uliowataja kutoka UKAWA, hawawezi kupambana na Magufuli akawashinda. Labda kama unasema mmoja wao kupambana na polisi/JWTZ/TISS wanaomuwakilisha Magufuli.
 
Atatangazwa kwa njia yoyote ile hata kama asilimia 99 ya watanzania watamkataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…