Unaweza kuthibitisha pasi na shaka kuwa hao elf 30 walikuwa na tiketi??Unaendaga uwanjani??unajua kuna watu huwa wanaenda uwanjani wakiwa hawana hela ya kiingilio wala tiketi lakini wanataka kuingia??unajua kitu kinaitwa Fungulia mbwa??Lile genge la wasanii waliopewa ticket Za Bure kugawia Wananchi usishangae walipewa Na Za Magendo kuuza
Watu Kama elf 30 walikuwa Nje ya Uwanja wakati ndani washajaa watu elf 63
Unaweza kuthibitisha pasi na shaka kuwa hao elf 30 walikuwa na tiketi??Unaendaga uwanjani??unajua kuna watu huwa wanaenda uwanjani wakiwa hawana hela ya kiingilio wala tiketi lakini wanataka kuingia??unajua kitu kinaitwa Fungulia mbwa??
Sent using Jamii Forums mobile app