Nani kawadanganya kuwa waarabu ni wakatili? Ona viongozi waliouua watu wengi zaidi duniani

Nani kawadanganya kuwa waarabu ni wakatili? Ona viongozi waliouua watu wengi zaidi duniani

Siyo Kweli Waarabu Watabaki Kuwa Wakatili Tangu Enzi Za Ukoloni Unazani Bara La Afrika Limepoteza Kiasi Gani Cha Watu
 
Mbona hizo data zimebase kwenye viongozi wa zamani inamaana sasa hii karne hakuna waliovunja hiyo reckod??
Mbona kuna baadhi ya viongozi wanaua mamilioni ya raia tena katika nchi zaidi ya moja!!
Hao hawaingii hata top 10 jamani??

Kumuacha Bush ni kosa kubwa!
 
Hii list ni propaganda za Americans kipindi cha ukomunist, ilikua inalenga kuitangazia dunia ubaya wa ukomunist na viongozi wao, ukiwaondoa Adolf Hitler, Leopold II, Hideki Tojo na Ismail Pasha, waliobakia wote ni wakomunisti na hatahao niliowataja mataifa yao yalikua na uadui na America miaka hiyo, toka kwisha vita kuu ya pili dunia mwaka 1945 Marekani ndilo taifa lililoshiriki vita nyingi zaidi mpaka sasa na vita hivyo vimegharimu maisha ya watu kwa mamilioni lakini cha ajabu hakuna kiongozi hata mmoja wa Marekani aliewahi kuhusishwa na mauaji , mi nadhani Franklin Roosevelt alipaswa kuwemo kwenye hiyo list. Tusubiri list mpya itakayokua na akina Osama bin Laden, Sadam Husein, Muamar Gaddaf, Slobodan Milosovic, Kim Il Jong, Vladimir Putin, Mohamed Ahmednejad............

Kwa hiyo watu wote walioteketa Iraq kwa uvamiz wa Bush bado hayuko kwenye list, hii ni ajabu kubwa. Yaani ukiuawa na Wazungu haiwi mauaji,vita vya Vietnam, raia si chini ya million2 waliaga dunia, still Rais wa US aliyeshiriki wakati huo hayumo!Badala yake wanatajwa akina Yakubu, sijui Ojukwu na Wakomunisti weeeengiii, huu ni upotoshaji! Wakati mwingine hawa wikipedia wako biased, taarifa potofu kabisa!
 
Back
Top Bottom