Hii list ni propaganda za Americans kipindi cha ukomunist, ilikua inalenga kuitangazia dunia ubaya wa ukomunist na viongozi wao, ukiwaondoa Adolf Hitler, Leopold II, Hideki Tojo na Ismail Pasha, waliobakia wote ni wakomunisti na hatahao niliowataja mataifa yao yalikua na uadui na America miaka hiyo, toka kwisha vita kuu ya pili dunia mwaka 1945 Marekani ndilo taifa lililoshiriki vita nyingi zaidi mpaka sasa na vita hivyo vimegharimu maisha ya watu kwa mamilioni lakini cha ajabu hakuna kiongozi hata mmoja wa Marekani aliewahi kuhusishwa na mauaji , mi nadhani Franklin Roosevelt alipaswa kuwemo kwenye hiyo list. Tusubiri list mpya itakayokua na akina Osama bin Laden, Sadam Husein, Muamar Gaddaf, Slobodan Milosovic, Kim Il Jong, Vladimir Putin, Mohamed Ahmednejad............