Nani kawahi kuwithdraw pesa UTT (Unit Trust of Tanzania)

Kwa nn uweke fixed wakati kuna Treasury bills na Treasury Bonds zenye faida kubwa kuliko hio ya fixed! Au uiwekeze hela yako kwenye ordinary shares!!
Mkuu kwenye ordinary shares ukitaka kuziuza unafanyaje?
 
Wiki mbili zote hiyo hela unaomba au ndio hela yako hiyo unaihitaji ?

Wajaribu kuweka utaratibu vizuri maana sioni sababu za MTU kuzungushwa na hela zake siku kadhaa .

Wakati unaweka unakua rahisi tu ila ikija kuchukua chako sasa usumbufu mwingi kama unakopa vile
 
Habari zenu wadau

kuna fununu za chinichini kuwa hawa jamaa wanasumbua pale mtu unapotaka kutoa pesa kutoka mfuko flani....wanadai baada ya siku kumi za kazi. Je ni wakweli? kuna yeyote aliyewahi kurequest pesa zake na kweli zikaja kwa akaunti ya bank?

Thanks
Inategemea na ofisi uliyopo aise. Kutoa siyo issue,, wanatoa pesa within ten working days.

Japo wana huduma za kibabe
 
Cjakuelewa.. Inategemea na ofisi nliyopo kvp yan... Na huduma za kibabe ndo zp?
 
Huo usumbufu ambao umeusema inategemea na watu wanaokuhudumia.

Huduma za kibabe meaning that kwa ujumla utt customer caring ni hopeless. Ila pesa wanatoa within ten days.
 
Ok boss
 
Heh sure
 
Habari zenu wadau

kuna fununu za chinichini kuwa hawa jamaa wanasumbua pale mtu unapotaka kutoa pesa kutoka mfuko flani....wanadai baada ya siku kumi za kazi. Je ni wakweli? kuna yeyote aliyewahi kurequest pesa zake na kweli zikaja kwa akaunti ya bank?

Thanks
Mimi nilishawahi kutoa. wasiliana nao kwa email hii: uwekezaji@uttamis.co.tz watakupa maelezo. lakin tegemea mzigo ndani ya siku kumi na siyo haraka kivile
 
Habari zenu wadau

kuna fununu za chinichini kuwa hawa jamaa wanasumbua pale mtu unapotaka kutoa pesa kutoka mfuko flani....wanadai baada ya siku kumi za kazi. Je ni wakweli? kuna yeyote aliyewahi kurequest pesa zake na kweli zikaja kwa akaunti ya bank?

Thanks

Pole,..unaweka pesa zako serikalini.,..Jiwe alishazitumia kuingarisha Kyaaato!
 
Back
Top Bottom