Mkuu kwenye ordinary shares ukitaka kuziuza unafanyaje?Kwa nn uweke fixed wakati kuna Treasury bills na Treasury Bonds zenye faida kubwa kuliko hio ya fixed! Au uiwekeze hela yako kwenye ordinary shares!!
Mimi nimewahi kuchukua tena mara mbiliuliwahi kurequest na pesa ikafika kwenye akaunti yako japo walikusumbua?
OrytMimi nimewahi kuchukua tena mara mbili
Inategemea na ofisi uliyopo aise. Kutoa siyo issue,, wanatoa pesa within ten working days.Habari zenu wadau
kuna fununu za chinichini kuwa hawa jamaa wanasumbua pale mtu unapotaka kutoa pesa kutoka mfuko flani....wanadai baada ya siku kumi za kazi. Je ni wakweli? kuna yeyote aliyewahi kurequest pesa zake na kweli zikaja kwa akaunti ya bank?
Thanks
Cjakuelewa.. Inategemea na ofisi nliyopo kvp yan... Na huduma za kibabe ndo zp?Inategemea na ofisi uliyopo aise. Kutoa siyo issue,, wanatoa pesa within ten working days.
Japo wana huduma za kibabe
Ok bossHuo usumbufu ambao umeusema inategemea na watu wanaokuhudumia.
Huduma za kibabe meaning that kwa ujumla utt customer caring ni hopeless. Ila pesa wanatoa within ten days.
Heh sureHuo usumbufu ambao umeusema inategemea na watu wanaokuhudumia.
Huduma za kibabe meaning that kwa ujumla utt customer caring ni hopeless. Ila pesa wanatoa within ten days.
Mimi nilishawahi kutoa. wasiliana nao kwa email hii: uwekezaji@uttamis.co.tz watakupa maelezo. lakin tegemea mzigo ndani ya siku kumi na siyo haraka kivileHabari zenu wadau
kuna fununu za chinichini kuwa hawa jamaa wanasumbua pale mtu unapotaka kutoa pesa kutoka mfuko flani....wanadai baada ya siku kumi za kazi. Je ni wakweli? kuna yeyote aliyewahi kurequest pesa zake na kweli zikaja kwa akaunti ya bank?
Thanks
Habari zenu wadau