Nani kubeba kombe Champions League, Pia nani atabeba Europa League

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Final Champions League itakua kati ya
PSG vs R.Madrid
Kombe atabeba PSG

Europa League final itakua kati ya
Man U vs Arsenal
Kombe atabeba Arsenal

Tuombe uzima
Shusha utabiri wako.View attachment 1752282
 
Acha kulala usingizi. Chelsea hajawahi kupiteza semi final back to back.

Nusu fainali ya mwisho alipoteza against atletico madrid.
 
Nadhani PSG ana moto nalo zaidi, kama atafika fainali atalitwa kufika fainali mara 2 mfululizo kisha asilibebe hesabu zangu zinakataa.. 32%

Man city sio wa kubezwa wana timu nzuri mnoo 30%

Madrid wao hili kombe ni kama wamelioa vile, japo sina uhakika kama anaweza kumfunga man city fainali, labda kidogo psg wakikutana fainali.. Shida psg hawana kiungo cha kushindana na madrid wala man city, wao wanategemea zaidi ubora wa strikers wao pale juu, na kidogo ulinzi, wakiomba dua golikipa wao Navas aamke vizuri awastili.. Na hili ni tatizo siku wakikutana na man city, watapata tabu saana
Madrid 28%

Chelsea asibezwe saana kwenye mpira lolote linaweza kutokea 10%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…