Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
huyu hajawa mgombea wa chadema, alichosema ni kuwa anaweza kujitokeza kugombea kupitia chadema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CUF wameshamtangaza Lipumba, CCM wanamrudisha JK, CHADEMA ni nani??, Mbowe anagombea ubunge!
Unapocheza karata unatakiwa kuficha karata zako hasa zile zenye mshiko hivyo ndivyo Chadema wanavyofanya watu wanabaki kuulizana Bibi yuko wapi na Bwana nani analo, sasa wewe ukitangulia kumcheza Bwana(ACE) au bibi na kuficha magalasa nyuma utashinda kweli.Inawaumiza kichwa - eeeeeeh?
Chadema supporting Lipumba will be just good for nothingChadema should show political maturity by forgetting past wrangles and proceed to endorse Lipumba as the presidential candidate.
Luteni,
Ni kweli kwamba mnasubiri makapi ya CCM? Kuna tetesi hapa kwamba mgombea wenu wa urais atatoka miongoni mwa wabunge wa CCM.