Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hili Bara la Africa ni Aibu tupu. Mtu hata awe na utajiri wa Aina gani, akiingia kwenye siasa tu lazima aibe. Huyu jamaa kanivunja nguvu kabisa.Ramaphosa maji yamemfika utosini. Anytime anakwenda kujiuzulu ama ANC wamvue urais wa Chama (ambapo atakua amepoteza sifa za kuwa Rais wa Afrika Kusini). Tusubiri kukuche.
NB: Hii ndio demokrasia
Yaani hili Bara la Africa ni Aibu tupu. Mtu hata awe na utajiri wa Aina gani, akiingia kwenye siasa tu lazima aibe. Huyu jamaa kanivunja nguvu kabisa.
Africa ubinafsi unatusumbua..Yaani hili Bara la Africa ni Aibu tupu. Mtu hata awe na utajiri wa Aina gani, akiingia kwenye siasa tu lazima aibe. Huyu jamaa kanivunja nguvu kabisa.
Kwa wazungu sio tamu?Hata ungekua wewe. Pesa nl tamu