and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Hapana ndugu. ANC wanakutana kesho tarehe 4.12.2022Sio Kwamba unamaanisha mkutano mkuu wa tarehe Saba!?
Yaani hili Bara la Africa ni Aibu tupu. Mtu hata awe na utajiri wa Aina gani, akiingia kwenye siasa tu lazima aibe. Huyu jamaa kanivunja nguvu kabisa.Ramaphosa maji yamemfika utosini. Anytime anakwenda kujiuzulu ama ANC wamvue urais wa Chama (ambapo atakua amepoteza sifa za kuwa Rais wa Afrika Kusini). Tusubiri kukuche.
NB: Hii ndio demokrasia
Yaani hili Bara la Africa ni Aibu tupu. Mtu hata awe na utajiri wa Aina gani, akiingia kwenye siasa tu lazima aibe. Huyu jamaa kanivunja nguvu kabisa.
Africa ubinafsi unatusumbua..Yaani hili Bara la Africa ni Aibu tupu. Mtu hata awe na utajiri wa Aina gani, akiingia kwenye siasa tu lazima aibe. Huyu jamaa kanivunja nguvu kabisa.
Hata ungekua wewe. Pesa nl tamuAfrica ubinafsi unatusumbua..
Kwa wazungu sio tamu?Hata ungekua wewe. Pesa nl tamu