Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mods si wekeni kitufe cha kufuta comment kwa wote, ukiona hupendi unafuta isiwepo kote hata kwenye server.Baleke
kanuni ndo inasema hvo au ni wewe umesema?Mwenye magoli machache ya Penalti ndo ataondoka na kiatu
Kanunikanuni ndo inasema hvo au ni wewe umesema?
Hizo kanuni huwa zinabadilka kila msimu. Kanuni siyo sheria.atakayekuwa na goli nyingi ligi itakapomalizika, wakiwa sawa utaratibu umeuelezea kwenye uzi tayari ukitolea mfano msimu uliopita, kwan tff wamebadili kanuni?
sishangai maana huku kwetu tunaenda kinyume na dunia inavoendaKanuni
sishangai, huku kwetu kila kitu shagalabagala, inategemea mkuu kaamkaje au mke wake kamwambia akafanye nn akifika ofisini wakat wakinyanduana.Hizo kanuni huwa zinabadilka kila msimu. Kanuni siyo sheria.