Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Endapo muswada wa kumbandua Rigadhi Gachagua naibu wa Rais wa sasa utafanikiwa, unadani ni yupi kati ya hawa wanaotajwa, ana nafasi kubwa zaidi kukwaa nafasi hiyo muhimu serikalini?
1. Anne Mumbi Waiguru, governor wa county ya kirinyaga na ambae anaungwa mkono na mke wa kinara wa odm mama Ida Odinga kuirithi nafasi hiyo. Anne Waiguru ni ndie mwanamke wa kwanza kua Governor Kenya, na hivi sasa anahitumisha muhula wake wa pili.
2. Prof. Abraham Kithure Kindiki aliwahi kua naibu speaker na hivi sasa ana hudumu kama WAZIRI wa mambo ya ndani Kenya.
3. Ndindi Nyoro, ambae ni mbunge wa jimbo la kiharu na mwenyekiti wa kamati ya bajeti ya bunge la kitaifa kenya. Ni best performing mp in Kenya.
Kwa ujumla wao wote hao wanatoka mount Kenya ambako ndiko huko huko alikotoka Rigathi kachagua na wote ni wakikiyu pia 🐒
Mungu Ibariki Tanzania