johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tumbiri yuko India πTUMBILI anafaa kwenye hiyo nafasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumbiri yuko India πTUMBILI anafaa kwenye hiyo nafasi
Lakini mke wa Raila Ida Odinga ndie anaongoza wanawake hususani magovonor kwenye kampeni ya kuhakikisha Anne Waiguru anapewa nafasi ya Unaibu Rais Kenya,Raila Odinga hamtaki kabisa Anne Waiguru
Raila ndiye Boss wa Kitchen Cabinet ya Ruto kwa sasa ππ
Kindiki anatoka mount kenya? Mbona jina la kimeru hilo jombaa. Atakuwa mmeru huyoEndapo muswada wa kumbandua Rigadhi Gachagua naibu wa Rais wa sasa utafanikiwa, unadani ni yupi kati ya hawa wanaotajwa, ana nafasi kubwa zaidi kukwaa nafasi hiyo muhimu serikalini?
1. Anne Mumbi Waiguru, governor wa county ya kirinyaga na ambae anaungwa mkono na mke wa kinara wa odm mama Ida Odinga kuirithi nafasi hiyo. Anne Waiguru ni ndie mwanamke wa kwanza kua Governor Kenya, na hivi sasa anahitumisha muhula wake wa pili.
2. Prof. Abraham Kithure Kindiki aliwahi kua naibu speaker na hivi sasa ana hudumu kama WAZIRI wa mambo ya ndani Kenya.
3. Ndindi Nyoro, ambae ni mbunge wa jimbo la kiharu na mwenyekiti wa kamati ya bajeti ya bunge la kitaifa kenya. Ni best performing mp in Kenya.
Kwa ujumla wao wote hao wanatoka mount Kenya ambako ndiko huko huko alikotoka Rigathi kachagua na wote ni wakikiyu pia π
Mungu Ibariki Tanzania
Duuu ,kumbe yupo India,Tumbili anapenda sana madaraka na vyeo vikubwaTumbiri yuko India π
Labda kama huzijui Siasa za KenyaLakini mke wa Raila Ida Odinga ndie anaongoza wanawake hususani magovonor kwenye kampeni ya kuhakikisha Anne Waiguru anapewa nafasi ya Unaibu Rais Kenya,
Unadhani Ida Odinga anaweza kufanya hivyo bila idhini ya Raila Odinga?
π
Hague na kura za hasira za mount Kenya wap na wapi sasa gentleman π€£Labda kama huzijui Siasa za Kenya
Hiyo ni nafasi ya Prof Kindiki kitambo sana tangia kule The Hague πππ
Hague na kura za hasira za mount Kenya wap na wapi sasa gentleman π€£
kwani kabla ya Uchaguzi wa 2022, kati ya RIGATHI na Prof Kindiki Nani alikua potential zaidi ya mwingine na kwanini? Kwani Hague haikuwepo?π
meru ni sehemu ya mount Kenya, na hata majuzi tu wabunge zaidi ya 30 kutoka upande huo wa meru, walijikusanya na kudiclare kwamba mount Kenya King Pin ni Prof Abraham Kithure Kindiki na sio RIGATHI GACHAGUA πKindiki anatoka mount kenya? Mbona jina la kimeru hilo jombaa. Atakuwa mmeru huyo
Gachagua aliwekwa kimkakati baada ya Ruto kukorofishana na Uhuru ππππHague na kura za hasira za mount Kenya wap na wapi sasa gentleman π€£
kwani kabla ya Uchaguzi wa 2022, kati ya RIGATHI na Prof Kindiki Nani alikua potential zaidi ya mwingine na kwanini? Kwani Hague haikuwepo?π
Bilashaka Ruto atapendelea kumuweka mtu mwingine kimkakati pia ili kumdhibiti huyo Gachagua na Uhuru wasifurukute,Gachagua aliwekwa kimkakati baada ya Ruto kukorofishana na Uhuru ππππ
UhuRuto walishamuahidi Prof Kindiki hiyo nafasi wakati Anne akiwa bimdogo wa Freedom Tanzaniata πππππΉ
Kindiki ndio ana Wabunge wengi kuliko hata Ruto πππBilashaka Ruto atapendelea kumuweka mtu mwingine kimkakati pia ili kumdhibiti huyo Gachagua na Uhuru wasifurukute,
unadhani Prof Kithure Kindiki anaweza wajibu huo mzito hasa ukizingatia mountain Kenya East wingi wa kura zake hauzidi ule mount Kenya West, huku Ruto pia akikusudia walau kuwatia moyo wa Mau Mau?π
kwani kindiki ana chama, hata awe na wabunge wengi gentleman? au ni part leader wa chama gani?Kindiki ndio ana Wabunge wengi kuliko hata Ruto πππ


Ana Fedha πππkwani kindiki ana chama, hata awe na wabunge wengi gentleman? au ni part leader wa chama gani?
Gachagua analaumiwa na watu wa maunt kenya kwa kua sehemu ya serikali hali ya kua hana chama cha siasa. prof.kindiki anacho?![]()