Nani kurithi kiti cha Naibu wa Rais Kenya baada ya Rigathi Gachagua kubanduliwa?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Endapo muswada wa kumbandua Rigadhi Gachagua naibu wa Rais wa sasa utafanikiwa, unadani ni yupi kati ya hawa wanaotajwa, ana nafasi kubwa zaidi kukwaa nafasi hiyo muhimu serikalini?

1. Anne Mumbi Waiguru, governor wa county ya kirinyaga na ambae anaungwa mkono na mke wa kinara wa odm mama Ida Odinga kuirithi nafasi hiyo. Anne Waiguru ni ndie mwanamke wa kwanza kua Governor Kenya, na hivi sasa anahitumisha muhula wake wa pili.

2. Prof. Abraham Kithure Kindiki aliwahi kua naibu speaker na hivi sasa ana hudumu kama WAZIRI wa mambo ya ndani Kenya.

3. Ndindi Nyoro, ambae ni mbunge wa jimbo la kiharu na mwenyekiti wa kamati ya bajeti ya bunge la kitaifa kenya. Ni best performing mp in Kenya.

Kwa ujumla wao wote hao wanatoka mount Kenya ambako ndiko huko huko alikotoka Rigathi kachagua na wote ni wakikiyu pia πŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
 
eric omondi
 
Ya Tanzania yanawashinda mnataka kwenda kuchanganua ya Kenya.

Tuulize hapa lini CCM wataacha wizi wa kura.
maisha yako binafsi ya kushinde kwasabb ya uvivu wako na kuamini ushirikina usingizie Kenya au CCM gentleman?πŸ’

Pambana kwa bidii bila kukata tamaa, na kwa Neema na Baraka za Mungu mihemko itakwisha kabisa πŸ’
 
Shirki inaingiaje kwenye wizi wa CCM? Halafu kwa vile unashinda kwa waganga ili nyuzi zako zionekane zaidi na wakulungwa wa Lumumba ili uongezewe allowance unahisi ndio kila mtu mshirikina?
 
Possibly πŸ‘Š

Ila hiyo movement ya wanawake ikiongozwa na mama Ida Odinga na magovonor wanawake ni πŸ”₯πŸ”₯sana, lolote linaweza kutokea
Ruto amejichanganya sana

Amesaini Mkataba na Wetangula

Amesaini Mkataba na Mudavadi

Prof Kindiki hatakuwa zuzu kama Gachagua lazima Wameshasaini mkataba πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shirki inaingiaje kwenye wizi wa CCM? Halafu kwa vile unashinda kwa waganga ili nyuzi zako zionekane zaidi na wakulungwa wa Lumumba ili uongezewe allowance unahisi ndio kila mtu mshirikina?
Hebu relax kwanza gentleman na upate tama la maji utulie kidogo 🀣
 
Ruto amejichanganya sana

Amesaini Mkataba na Wetangula

Amesaini Mkataba na Mudavadi

Prof Kindiki hatakuwa zuzu kama Gachagua lazima Wameshasaini mkataba πŸ˜‚πŸ˜‚
Actually Prof. Kindiki akizubaa na hili nalo likapita,

unaibu wa Rais na urais wa Kenya atauskia kwenye bomba tu..

Anne Waiguru ni mkaksi mno anaweza akapewa hiyo nafasi kwasababu huwa anamzodoa sana Gachagua na Uhuru Kenyata mara kwa mara,

Kindiki ni mpole sana na mstaarabu kupindukia πŸ’
 
TUMBILI anafaa kwenye hiyo nafasi
 
Raila Odinga hamtaki kabisa Anne Waiguru

Raila ndiye Boss wa Kitchen Cabinet ya Ruto kwa sasa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…