Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

Status
Not open for further replies.

Kagalala

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
2,403
Reaction score
1,133
Wadau naomba maoni yenu. Mimi naona Mizengo Pinda hatarudi tena kuwa waziri mkuu bali kundi la mafisadi wataingia sawa sawa kuchukua nchi na kufanya wakalo knowing ni kipindi cha mwisho cha Mkubwa wao
 
HUYO naye kachakachua matokeo ya ubunge pale sumbawanga mjini. hatufai
 
yule mlinzi mchawi wa majini alisema PM atatokea upinzani ila tabiri zaku zime-prove wrong
 
MP alichimbwa mkwara na JK kwamba asipohakikisha jimbo la Sumbawanga Mjini linabaki CCM hatapata uwaziri mkuu, ndipo akawazuia wasimamizi kutangaza matokeo na akaweka kikao nao, matokeo yakageuzwa na kutangazwa saa sita usiku. Huenda JK akamtimizia ahadi aliyompa.
 
Hafai kabisa huyu jamaaa, Yani nilikuwa namtegemea sana, Ila nimegundua ni MUOGA SANA, Ameshindwa KUTHUBUTU kazi kulalalmika tu na kulia!
 
Pinda lazima apewe maana yeye hafikirii lolote km URAIS 2015. Kikwete anamhitaji mtu km Pinda si km Lowasa mwenye UCHU wa URAIS 2015. Pinda Waziri mkuu ni wake tu
 
Duru ndo hizo sasa,tusubiri tu baada ya kukosa Uspika SS ndo anaenda kwenye UPM.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…