Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

Status
Not open for further replies.
aende tu, aliniboa sana huyu, hana lolote. asante CCM kwa kumtimua kabisa mnafki sana yule. kila siku anazua visa tu kwa wenzie, utadhani yeye alikuwa msafi, akiletewa ngoma bungeni anawarudia aliowajeruhi kushirikiana nao kisha inazimwa (rejea ishu ya richmond) sasa huyu spika gani? mara ajijengee ofisi ya spika jimbini kwake urambo, utadhani alijhakikishiwa kuwa uspika utatoka urambo milele, kweli ule si ubadhirifu wa mali za umma? ilikuwa akili, au matpe kichwani kwake? amevuna lichopanda, na aende zake tu, tena wamemchelewesha sana, bora angevuliwa tu uanachama kipindi kle. bora sasa wametiletea makinda. huyu atalimudu bunge hakika

Acha upumbavu wako mama .watu tunasikitika nchi inapelekwa pelekwa na wahuni wewe unachekelea.kama swala la muhimili mmoja uongozwe na mwanamke situngempa mama kikwete nchi zen jamaa awe first-boy.na nikikukamata lazima nikutufuetufue punda weweee!
 
lisemwalo lipo... anaweza akawashangaza wa TZN kwa kuweka PM wakike..
 
Hii ni biashara gani tena? Nadhani humu vilevile kuna wazee! Haifai hii hapa!
 
Are you ok young man? Hivi wewe kwa akili zako ambazo Mungu amekujalia za kupambanua mambo? Unadhani Makinda hili bunge atalimudu? Yaani huyu mama atapwaya vibaya kupita maelezo ni kama wamempa kiatu cha saizi namba kumi na wakati yeye anavaa namba tano. Hakika CCM ni sikio la kufa lisilo sikia dawa anyway ndio mwisho wao wa safari umewadia! Upinzani hureee hureeeeeeee
 
Go extra one mile in thinking!! Hawa jamaa walitaka kumnyang'anya kadi yao ya CCM majuzi, leo wamemvua uspika for just a simple reason ya kuwaweka mademu kushika hiyo nafasi, TAKAKURU were used to clip his wings kwa kumbambikia mkewe Mr.Six kukamatwa na rushwa halafu leo waje wampe au hata kumfikiria u PM? Haiwezekani!!!!! Hiyo imetoka na muda si muda watamweka kwenye a forgoten list kama walivyomfanya Mzee Malecela, Hawa Ngulume,Butiku, Kolimba, Mangula na watu wengine waliokuwa na msimamo wa kuipenda nchi yao.

Ukitaka kujua hao sisi m ni watu wa namna gani kumbuka safari ya Makamba kwenda Urambo kuzungumza na Mama yake Mhe.Sita, kumbuka alivyojikosha na kumbuka maneno ya Kikwete alipokwenda kwenye kampeni pale. Usingetegemea haya yote kutokea!! Hawa walimzunguka zunguka wakiogopa kuwa angeweza kuhama chama baada ya kuanzishwa kwa CCJ, waliogopa kuwa angekuwa a great material kama yeye na wapiganaji wengine dhidi ya ufisadi wangehamia upinzani.

Sasa ili mradi wameisha rudi madarakani hawamhitaji tena na wako tayari kwa lolote hata akihama chama chao!!! lakini kwa kuwa watz wengi si jasiri, hawezi thubutu kuhamia CHADEMA! Kwa watu kukosa ujasili na kuendekeza njaa zao, ccm inakuwa inajidanganya kuwa chama kina nguvu kubwa.
 
Hiiii ni safi kwa sisi wapinga ufisadi bungeni, tunajaua Makinda ndie anayeandaliwa ili awe spika na kwa tabia ya Ana ni mtu asiyetoa nafasi kwa upizani, kumbuka marehemu Wangwe alivyokuwa anapata shida kutoa hoja bungeni Makinda akiwa spika siku hio, wapainzani wajiandae tu kupeleka makombora kwa kutumia hata vyombo vya habari yaani nje ya bunge maana kwa kifupi Makinda ni kambi ya Mafisadi nchi hii.Natabiri kuwa hata maliza uspika kwa salama aidha apigiwe kura za kutokuwa na imani au basi ngumi na vurugu kubwa kutokea bungeni kwa kujifanya ni mbabe, naamini Job ndie atakae kuwa naibu wake kwa hio hoja nyingi zitatolewa wakati Ndugai akiwa spika.Sikupenda hili ila kama inawezekana kiti hiki kingeenda kwa upizani sio CCM ili mambo bungeni yaende vizuri na hoja nzito ziweze kujadiliwa bungeni. Sita nina imani atakuwa moto bungeni na ana siri kubwa za wabunge hasa mafisadi na najua ataungana na wakina Mwakiyembe na wengine ambao wako against mafisadi.Usijali Sitta karibu kwenye kambi ya upinzani tuwaadabishe mafisadi. :rip:CCM.
 
Nyie mnafikiri Chenge, alikuwa anautaka uspika? la hasa, yule alikuwa smoke screen tu ya kummaliza Six!
 
Kupata UPM itakuwa ngumu, halafu isitoshe 6 kwa ujasiri wake hafai kwenye nafasi za kuteuliwa maana watamfukuza, huyu jamaa anafaa kwenye nafasi ya kuchaguliwa ili awe na nguvu.

Watamwacha tu aendelee kuwa mbunge ili wasikilize anachangia nini,na hapo ndipo watakapopata nafasi ya kum-Malecela kama si kum-Kolimba!!
 
Sitta aliyumba kwenye suala la RICHMOND. Akawapa nafasi wapinzani wake kummaliza. Ashukuru tu lile jaribio la mwanzo la kumchomolea kadi ya CCM halikufanikiwa. Mara hii wamemwondoa "kistaarabu" kabisa. Apewe ile wizara ya mkewe aongoze. Hana MSIMAMO IMARA Sitta wetu.
 
Go extra one mile in thinking!! Hawa jamaa walitaka kumnyang'anya kadi yao ya CCM majuzi, leo wamemvua uspika for just a simple reason ya kuwaweka mademu kushika hiyo nafasi, TAKAKURU were used to clip his wings kwa kumbambikia mkewe Mr.Six kukamatwa na rushwa halafu leo waje wampe au hata kumfikiria u PM? Haiwezekani!!!!! Hiyo imetoka na muda si muda watamweka kwenye a forgoten list kama walivyomfanya Mzee Malecela, Hawa Ngulume,Butiku, Kolimba, Mangula na watu wengine waliokuwa na msimamo wa kuipenda nchi yao.

Ukitaka kujua hao sisi m ni watu wa namna gani kumbuka safari ya Makamba kwenda Urambo kuzungumza na Mama yake Mhe.Sita, kumbuka alivyojikosha na kumbuka maneno ya Kikwete alipokwenda kwenye kampeni pale. Usingetegemea haya yote kutokea!! Hawa walimzunguka zunguka wakiogopa kuwa angeweza kuhama chama baada ya kuanzishwa kwa CCJ, waliogopa kuwa angekuwa a great material kama yeye na wapiganaji wengine dhidi ya ufisadi wangehamia upinzani.

Sasa ili mradi wameisha rudi madarakani hawamhitaji tena na wako tayari kwa lolote hata akihama chama chao!!! lakini kwa kuwa watz wengi si jasiri, hawezi thubutu kuhamia CHADEMA! Kwa watu kukosa ujasili na kuendekeza njaa zao, ccm inakuwa inajidanganya kuwa chama kina nguvu kubwa.

mnanjisumbua bure kudiscuss ccm na maamuzi yao, hawa ndo wamefika mwisho eti, chochote wanachoamua saivi kinazidi kuwachimbia kaburi 2015, wee unamchagua spika kwa kigezo cha umwanamke??heheheee mkwere anapenda sketi acha..sie yetu macho..mi nilikuwa napenda chenge awe spika, ili tuwaangushe vizuri zaidi..lakini pia kwa choice hizi bado wetu tuu hawa..6 atajiju, kwanza mzee, hatumuhitaji chadema..pili kazichanga vibaya, kalikoroga na alinywe mwenyewe, sie hatuhusu, ingawa akitaka kuja chadema tutamkaribisha, chadema ni ya wote....ila ukiwa mamluki mwenyewe utatoka....ccm ni mafisadi na waliokichagua mjiju sasa...
 
aende tu, aliniboa sana huyu, hana lolote. asante CCM kwa kumtimua kabisa mnafki sana yule. kila siku anazua visa tu kwa wenzie, utadhani yeye alikuwa msafi, akiletewa ngoma bungeni anawarudia aliowajeruhi kushirikiana nao kisha inazimwa (rejea ishu ya richmond) sasa huyu spika gani? mara ajijengee ofisi ya spika jimbini kwake urambo, utadhani alijhakikishiwa kuwa uspika utatoka urambo milele, kweli ule si ubadhirifu wa mali za umma? ilikuwa akili, au matpe kichwani kwake? amevuna lichopanda, na aende zake tu, tena wamemchelewesha sana, bora angevuliwa tu uanachama kipindi kle. bora sasa wametiletea makinda. huyu atalimudu bunge hakika

Kwanza mhe. huna taarifa sahihi. Ile ofisi ya Urambo Mashariki si ya Spika ni ofisi ya mbunge yeyote ambaye atachaguliwa na wananchi kuwatumikia wana Urambo hata wa chama kingine. Ni mpango mahsusi wa serikali kujenga ofisi za wabunge zenye hadhi kama ile katika majimbo yote ya uchaguzi likiwemo na hilo la mbunge wako mpendwa Anna Makinda. Pamoja na ukongwe wake katika chama na serikali Mhe. Anna Semamba Makinda si mtu sahihi kuliongoza mbunge hili la kumi kwani bado ana ukakasi wa Chama kushika hatamu na hili ni bunge la kimapinduzi ya kifikra zaidi.
 
ANA MAKINDA NDIYE SPIKA KWA VIGEZO HIVI:-
1. WANA CCM WOTE WATAMCHAGUA YEYE
2. KUMBUKA CCM NA CUF WAMEUNGANA HIVYO HATA MREMA ANAONEKANA KUJUINGA NA CCM HIVYO WABUNGE WOTE WATAMCHAGUA ANA NA KUWA NA KURA NYINGI.
3. CHADEMA "NGUVU YA UMMA" INAWABUNGE WACHACHE HATA KAMA ITAUNGANA NA NCCR MAGEUZI HAWATA WEZA KITU.
NCHI IMEKWISHA.
SITTA ANASTAHILI ALICHOFANYIWA KWANI:-
i. ALIKUWA NA NAFASI YA KUPIGA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA RAIS WAKATI WA TUKIO LA LOWASSA ILIAIOKOE NCHI AKAONA CHAMA NI BORA HIVYO BAADAYE AKATAKA KUJIUNGA NA CCJ AKASHINDWA WAJOMBA JAMAA HAFAI. WAMEONA WAKIMPA TU ANAWEZA AKAJIJENGEA UMAARUFU ILI 15 AGOMBEE URAIS KAISHA HUYO.

hivi ni kweli Mr. 6 alikua na mkono CCJ?mwenye data hebu atumwagie, kama ni kweli CCM wana haki ya kum mwaga mana ameonesha disloyalty
 
Wabunge wenye akili timamu watamchagua Marando. Waliwahi kumchagua kwenye Ubunge wa Afrika Mashariki mara hii hawatasita kumchagua kwenye Uspika ambao CCM ni kama wameutema rasmi.
 
aende tu, aliniboa sana huyu, hana lolote. asante CCM kwa kumtimua kabisa mnafki sana yule. kila siku anazua visa tu kwa wenzie, utadhani yeye alikuwa msafi, akiletewa ngoma bungeni anawarudia aliowajeruhi kushirikiana nao kisha inazimwa (rejea ishu ya richmond) sasa huyu spika gani? mara ajijengee ofisi ya spika jimbini kwake urambo, utadhani alijhakikishiwa kuwa uspika utatoka urambo milele, kweli ule si ubadhirifu wa mali za umma? ilikuwa akili, au matpe kichwani kwake? amevuna lichopanda, na aende zake tu, tena wamemchelewesha sana, bora angevuliwa tu uanachama kipindi kle. bora sasa wametiletea makinda. huyu atalimudu bunge hakika

Mkuu lugha unayoiongea ndiyo aliyoiimba Chenge sana sasa sijui kama mnauhusiano au lenu moja. Umeimba Sitta alikuwa na visa na nini hebu tutajie ni lipi kati ya haya yaliyoleta mijadala nchini ni issue ya visa-Richmond/Dowans, EPA, Meremeta/Tangold etc.
 
UNajua huu usanii wa CCM Sijui utaisha lini. Wakiona mtu alikuwa wa watu afu wamemtema wanampooaza kwa vyeo vingine
 
acha fiksi zako wewe!makinda haliwezi bunge hili.ataweza kuamulia ngumi?hakuna ubishi bunge lilichangamka chini ya 6.Marando anahusika kwa sasa.

Sita alikuwa na unafiki, hakuwa moto wala baridi, alikuwa vuguvugu, sasa kiongozi wa hivyo hafai, hata bible imesema atatapikwa. Ukifuatilia mambo mengine ya kipuuzi aliyowafanyia wapinzani utagundua kuwa he was not very good kwao. Zito Kabwe kusimamishwa, mzee wa Mapesa, aliamuriwa akae chini kama kinda. Halafu baada ya kutishiwa kunyanganywa kadi, akauzima mjadala wa Richmond, so hana msimamo, na pia kuna madai ya ubadhirifu na umangi meza.

Kuna madai ya kujipatia expensive furnitures, kujenga ofisi kubwa ya mbunge huko urambo kwa watu maskini kupita sehemu nyingine yeyote. Pia yapo madai ya matumizi mabaya ya magari ya serekali kuhudumia vijumba vidogo etc. So nadhani CCM ilikuwa na kila sababu ya kumtupa. CCM inajua ni nani fisadi na ni nani sio, kimtazamo wangu nadhani Six ni fisadi pia, period!!Well done CCM
 
With all his weknesses, Sitta was ideal kwa bunge hili hasa ukizingatia aina ya wabunge na mwelekeo wa siasa za nchi yetu kuelekea kwenye ageuzi ya kweli. Ila Sitta as for me alikuwa akiuma na kupuzia sana. Nashindwa keuelewa kama alikuwa ana nia thabiti hasa yakuona mabadiliko yakitokea katika nchi hii.

Issue ya Richmond imefika pale ilipofika kutokana na chuki iliyokuwepo kati yake na EL! hata muundo wa ile select commitee ya Richmond ilikuwa na maamuzi kabisa ya kumuadabisha EL! which if true kama alishiriki was the right thing. Lakini nimekuwa nikimuangalia Mheshimiwa 6 kwenye issue nyingine ambazo Serikali imekuwa ikikabwa koo na wapinzani kuhusu tuhuma za ufisadi ikiwemo madini, EPA n.k ! Sitta hakuwa na mchango mkubwa..nakumbuka kabisa siku ile Zitto alivyowekwa kati na wabunge na kuitwa muongo, mzushi n.k. huyu bwana hakuonyesha hata hisia za kupoza ile hali mpaka kijana wa watu kwa ujasiri akakubali kuadhibiwa!.

Tuhuma za ubadhirifu wa pesa za umma zimekuwa zikimuandama sana spika 6 na yeye hajasikika kuzikanusha.. kwa mfano hili la kuridhia kupangiwa nyumba ya dola 8,000 kwa mwezi, ujenzi wa ofisi ya sh. milioni 500 n.k. Yote ni mambo ambayo yanamuweka pabaya mheshimiwa huyu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom