Kuhusu Babu Duni nadhani ni suala la muda tu atakuwa makamu wa kwanza wa rais huko Zanzibar
Yote kwa yote siasa za Zanzibar zitachukua mwelekeo mpya sana.si rahisi ndio maana hata mwanzo inasemekana jina lake lilikataliwa
Hili yawezekana liko wazi lakini kuna wanasiasa wengine wakongwe wengi sawa na Duni kina Bimani na Mnyaa japo hawafiki level ya Babu DuniJuma Duni ndio natural Hair wa Maalim Seif. Japo kuwa Umri umekwenda, na pia amepoteza ushawishi kwenye chama na kwa wafuasi ukilinganisha na miaka ya nyuma. Lakini bado anabaki kuwa ndie most deserved one
Sawa lakini ccm watakuwa tayari kushirikiana na Mansour iwapo jina lake litapendekezwa ?
Je wapemba watakuwa tayari kumtanguliza Mansour kuipigania Zanzibar yenye haki na usawa ?
kwa jinsi SUK ilivyoanza kazi ndani ya siku 100 maalim alikuwa anakwenda kumtengenezea njia ya ushindi mkubwa bwana hussein mnamo 2025.Yote kwa yote siasa za Zanzibar zitachukua mwelekeo mpya sana.
Ni mwelekeo upi ni suala la kusubiri muda utupatie majibu
Hili yawezekana liko wazi lakini kuna wanasiasa wengine wakongwe wengi sawa na Duni kina Bimani na Mnyaa japo hawafiki level ya Babu Duni
Mtihani utaijia hapo
Lakini Duni umri umemtupa mkono sana na huenda ACT wakateua mtu ambaye atakuwa karata yao kwenye uchaguzi ujao wa 2025.Hao huwezi linganisha na duni, Kwa karibu miaka 20 Duni amekua ndio mrithi wa Maalim Mtarajiwa.
Fafanua kidogo hoja yako hiiMaalim Seif alikua analeta balance kubwa kwenye siasa za upinzani Zanzibar, kiasi kwamba sasa wasipokua makini mambo yanaweza kuvurugika
kumbuka anatakiwa atoke chama pinzani.lakini pia uteuzi huu unamuangalia yule mwenye nguvu na ushawishi kutoka vyama pinzani namaanisha chama kikuu Cha upinzani,ambacho ni ACT WAZALENDO,swali je ni Nani kutoka act WAZALENDO ambaye anaushawishi mkubwa Kama alivyokuwa seif???Maandalizi ya siasa zijazo baada ya Maalim
- Mansour Yussuf Himid
- Juma Duni Haji
ukisoma comment za wachangiaji juu ya maalim na uamuzi wake halafu ukaamua kufanya ziara ndogo mitaani unakutana na dunia tofauti.Maalim Seif alikua analeta balance kubwa kwenye siasa za upinzani Zanzibar, kiasi kwamba sasa wasipokua makini mambo yanaweza kuvurugika
kumbuka anatakiwa atoke chama pinzani.lakini pia uteuzi huu unamuangalia yule mwenye nguvu na ushawishi kutoka vyama pinzani namaanisha chama kikuu Cha upinzani,ambacho ni ACT WAZALENDO,swali je ni Nani kutoka act WAZALENDO ambaye anaushawishi mkubwa Kama alivyokuwa seif???
Sawa nimekupata vizuri lakini Mansour inaonekana bado ni mchanga katika siasa za upinzani itawezekana kweli ACT kupendekeza jina lake ?
Juma Duni Haji anatajwa sana na wanachama
Naye amalizie uzee vizuri (apate naye raha japo ni uzeeni)
- juma duni haji
- mansour yussuf himid
- hamad massoud
- kwa waliokuwa chamani pamoja na zitto akiwemo mgombea mwenza wa bernard membe
Fafanua kidogo hoja yako hii
Lakini Duni umri umemtupa mkono sana na huenda ACT wakateua mtu ambaye atakuwa karata yao kwenye uchaguzi ujao wa 2025.
Na huenda 2025 asiwe karata muhimu kwa ACT visiwani humo hili wewe unalitazama vipi ?