hivyo ndivo ilivyo, Hussein Mwinyi kwa njia alizoanza nazo kujaribu kuenda na siasa za usawa ni wazi kuwa asingeweza kushinda uchaguzi ujao bila ya kupata support ya ACT kimakubaliano, bila ya hivo atalazimika kurejesha vurugu za nyuma.kwa jinsi SUK ilivyoanza kazi ndani ya siku 100 maalim alikuwa anakwenda kumtengenezea njia ya ushindi mkubwa bwana hussein mnamo 2025.
maalim hakuwa na nguvu tena ya kuwa mgombea wa uraisi mnamo 2025 hivyo angelikosekana mwanadamu sahihi aliyetoka kwenye system ya serikali mwenye uwezo wa kumchalenge hussein kwenye jukwaa lijalo
Mh Mansoor sidhani, Kama mfumo utaruhusu.Maandalizi ya siasa zijazo baada ya Maalim
- Mansour Yussuf Himid
- Juma Duni Haji
ukisoma comment za wachangiaji juu ya maalim na uamuzi wake halafu ukaamua kufanya ziara ndogo mitaani unakutana na dunia tofauti...
Mtu wa maana hapo ni Juma Duni Haji mwingine yule ni debe tupuMaandalizi ya siasa zijazo baada ya Maalim
- Mansour Yussuf Himid
- Juma Duni Haji
Juma Duni Haji nadhani experience na age,vitam favour achaguliwe, Mansour anapendwa ila Mwinyi hawezi kumuweka kijana mwenzie kwenye ile position kwa sababu anahitaji mtu wa makamo kuliko yeye na mwenye uzoefu mkubwa wa siasa.huyo Hamad Masoud hafai mkuu, Na siamini kama anaweza kuwemo hata katika watakaopendekezwa.
Ni wazi kwamba Gwiji la siasa za Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki ( Apumzike kwa amani ) lakini ikumbukwe kwamba Zanzibar bado ingalipo na itaendelea kuwepo.
Sasa bila shaka Katiba ya Zanzibar inatambua uwepo wa Makamu wa Kwanza wa Rais, je imeeleza chochote jambo kama la kifo linapotokea? Na kama ACT Wazalendo wanaruhusiwa kujaza nafasi ya Maalim Seif unadhani ni yupi awezaye kuvaa viatu hivi?
Mtu sahihi huyuJussa ismail
A person needed is from PEMBA unless otherwise
- nassor mazrui haitowezekana kuwa makamo kwa sababu ameteuliwa kuwa muakilishi na raisi, muda wowote anaweza kuziba nafasi ya uwaziri katika ya wizara mbili walioachiwa ACT. makamo wa kwanza haingii kwenye baraza la wawakilishi
- kuhusu Jussa sidhani kama itawezekana kuchaguliwa, nitakupa sababu zangu private kama utahitaji (jussa ni rahisi kumchafua mbele ya jukwaa)
- mansour na Duni ndio wabeba maono wa upinzani na wote wameshajijengea mvuto mbele ya hadhira, wote ni wazungumzaji na wahamisishaji wazuri
Nadhani hauko sawa. Katiba yao inatambua nafasi ya makamu wa kwanza wa Raisi na kwamba atatoka kwenye chama kilichopata angalau asilimia kumi ya kura kwenye uchaguzi mkuu. Na chama kilichopata ushindi kina nafasi ya kutoa makamu wa pili wa Rais.Imeeleza nimesahau ibara na kifungu ila inasema "endapo makamu wa kwanza wa Rais akafa Rais alieko madarakani anaruhusiwa "kuteua"mwingine..
Hivyo baada ya msiba kupita Rais anaruhusiwa kikatiba "ya kwao huko"kuteua makamu wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Jussa mpole sana. Siasa za Zanzibar zinataka nahodha ngangariNadhani watampa Mazrui au Ismail Jussa.