Pre GE2025 Nani kuwa Mgombea Urais CHADEMA 2025?

Pre GE2025 Nani kuwa Mgombea Urais CHADEMA 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtanange wa Urais 2025 utakuwa Kanda ya maji baridi.
 
Zitto size yake ya siku zote ni ubunge. Hawezi kigombea zaidi ya hapo.
 
Watampa Mchungaji Msigwa au bilionea Jacob
Wampe mnyika..tupate kijana. Aliyegombea last time anafaa kwenye uanaharakati zaidi.
To me, I would vote for Mnyika

Nawashauri this time wasichukue mtu aliyetemwa kwenye vyama vingine. Wajiamini. Wakitulia watagundua kuwa wana watu wanaofaa kupewa majukumu makubwa.
A
 
Tatizo chama chake kinapataga kura upande wa kaskazini tu,maeneo mengine ya nchi ninkuokoteza mfano Mbeya na Musoma .Kwa muktadha huu sio raisi kuweza kuwa rais wa nchi yetu pendwa
Inasikitisha kuona hii Nchi ina Vijana design yako waliokubali kuwa Chawa wakati Vijana wa Senegal wamefanya kweli.
 
Hapana shaka CCM ni SSH:
ACT-Wazalendo ni ZZK:
CHAUMMA ni HRS:
CHADEMA ni nani?

Maoni yangu;
-Chadema wange 'vujisha' mgombea wao ili wananchi wamzoee, wampime ....kusudi, ikifika 2025 wasishtukizwe na mgombea ambaye pengine hawamuelewi vizuri tabia na uwezo wake.
Heche anatosha
 
Back
Top Bottom