Nani kuwarithi Messi na Ronaldo katika Ballon d'Or 2024?

Nani kuwarithi Messi na Ronaldo katika Ballon d'Or 2024?

Dogo ana jua mpira ila kiwango chake hajamfikia hata arjen roben alipo kuwa kwenye ubora wake
Pima huyo robben AKiwa umri wa miaka 17 alichukua euro halafu nipe majibu tena sio kuchukua tu dogo ndio super star Spain kaiwezesha kubeba euro Sasa pima huo umri na robben alivyokua na huo umri
 
Kiuhalisia anayestahili ni Dani Carvajal kashinda UEFA, La liga na Euros. Kote ni starter na kakiwasha.

Ila atayepewa ni Vini Jr au Rodri.
Na ndio ilitakiwa kuwa hivyo Mkuu., Dani alikuwa na kiwango bora sana msimu uliopita, sio kwenye club wala Taifa, alikiwasha kweli kweli.
Ila kwa sababu za Kibiashara atapewa huyo Vini Jr ama Rodri.
 
Kweli wakati ukuta, hatimaye zama za La Pulga na CR7 zimekwishapita...
 
Back
Top Bottom