Nani mbabe: Black Mamba vs King Cobra

mwambie huyo anayeongoza ni kifutu ( puffer adder)

Sababu wanapatika maeneo mengi

Wanakaga kimpya.

Nirahisi kuchangamana na watu.
Kifutu mstaarabu sana.. mpaka umchokoze ndio anakushambulia, anaweza kaa pembeni yako hata saa zima na usijue kama yupo ila usijitingishe ukamgusa
 
Mkuu.. kuwa na heshima na koboko aisee.. na kuna sifa yake moja umeisahau, anapenda bangi kupita maelezo
 
Mbona kuna sifa za Koboko umehamishia kwa Cobra. Jaribu kuhariri andiko lako.!
Watafiti mbalimbali wanasema bora ukutane na Simba porini na sio Black Mamba.! Unajua ‘Kiss of Death’?!
Usiombe kujaribu.
Analeta utani na koboko.. kile kiumbe [emoji119]
 
Hii tabia na michezo ya nyoka huwa zinatokea wapi jamani
 
Black mamba ni habari nyingine yanii.. huyo nyoka sio wa utani wengine mpaka uwachokoze ndo wanakudhuru huyu vita ni vita yanii akikuona tu unalooo... 🤣 🤣 🤣 🤣 anakufata hadi kwako yanii
 
Kwa nyama tamu Black Mamba ana nyama tamu zaidi na laini..mimi hupenda hii ya Black Mamba. Na supu yake ni nzuri kwa kuongezea ngumu za kiume. Unachemsha na tangawizi unakunywa kijiko kimoja kwa gram 50 za nyama chemsha na maji nusu lita na kipande cha tangawizi kilichosagwa kijiko kidogo. Utanambia.

Tahadhali : usinywe kama huna uhakika wa kupata mademu wasiopungua watatu siku husika.
 
Jf ni jukwaa Huru!
Hivyo kila mtu ana uhuru wa Kuchangia...

Ila sio kwa uchangiaji huu,Mambo mengine tujaribu kuwa watu wazima kidogo.

Mada inamaanisha nini,vipi na wewe unamaanisha nini sasa.
ili nibidi nicheke tu maana hamna namna
 
Mbona unakuwa kama msomali wa Tanzania football failure.ushindanishe wewe na utoe ubingwa wewe
 
Mtoa mada nakusahihisha kidogo,nyoka anaeongoza kuua watu wengi si black mamba,sababu nyoka huyo mara nyingi hukimbia watu.
Nyoka anaeongoza kwa kuua watu wengi ni nyoka anaeitwa saw scaled viper,jina lake maarufu jingine ni carpet viper jina la kisayansi anaitwa echis carinatus. Kwa mujibu wa tovuti ya britannica.com,nyoka huyo ameua idadi kubwa ya watu ambayo inafidia ukijumlisha idadi ya watu waliouwawa na aina nyingine zote za nyoka.
Huyo carpet viper ni noma,naomba kama kuna mtu anlijua jina lake kwa kiswahili atuambie.
 
Unamuongelea swira mkuu
 

mada ni wakikutana yupi atasanda??

black mamba ni nyoka hatari sana kwa viumbe wengine,ila sio huyo mwenzao wa kuitwa king cobra.
king cobra ndiye nyoka anayekamata na kumeza nyoka wengine.
kwa aina hiyo ya maisha ni dhahiri amepewa kinga ya sumu kama alivyo nyegere,nguchiro na kenge wanaokula nyoka pia.
 
King Mufasa Mbona kuna sifa za Koboko umehamishia kwa Cobra. Jaribu kuhariri andiko lako.!
Watafiti mbalimbali wanasema bora ukutane na Simba porini na sio Black Mamba.! Unajua ‘Kiss of Death’?!
Usiombe kujaribu.
Nilivyoelewa ni kwamba Hii Jamaa imejikita kupambanisha wao kwa wao na si wao against sisi binadamu

Ila ukiwapambanisha na binadamu ni bora mara 10 ukutane na Black mamba kuliko Cobra.
 
Kuna tofauti kati ya swila na black mamba/Green mamba mkuu?
Swila anavimba kama cobra ila sio cobra yeye siraha yake ni mate , king cobra muache kabisa kwanza mwili wake unazalisha kinga dhidi ya sumu zote nyoka including cobra themselves
Wakipigana cobra na koboko koboko analiwa alfajiri tu ila wewe kama wewe ukiambiwa ukutanishwe na mmoja wao chagua kukutana na kobra sio koboko, koboko ni hatari na hana mpinzani kwa hio tasnia
 
Kuna kipindi flani kinaoneshwaga Nat Geography mwamba akienda kutoa nyoka akimkuta black mamba yaani anakuwa seriously mpk jasho linamtoka ila Cobra sio kivile
Simon Keys Na mkewe Siouxie hahahaaa
 
Black mamba vs king cobra apa kombe tunampa king cobra... lakini wote wawili wakipambana na viumbe wengine aiseee black mamba sio wa mchezo mchezo kabisa
 
Black Mamba ni hatari zaidi
Hatari akikabiliana na Nani? King Cobra au Binadamu

Vs Binadamu mbona Koboko/Black Mamba mbona hana noma ni mpaka umchokoze ndio anakuwa hatari.....

Lkn Usiombe Ukutane Na King Cobra uyu kwanza by nature tu ni Mbabe na ni Mkorofi atakushambulia bila hata kuanza kumchokoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…