Nani mcheshi zaidi na mtu serious zaidi JF?

Najua kila binadamu ana carrier yake wengine wako serious kama mimi na kuna wengine muda wote wao ni kufanya masihara na ucheshi wa hapa na pale.

Je nani ni mtu serious na mtu wa mizaha mingi Jamii forum?
Carrier??????
Au ulimaanisha character?
 
Kupaishana/kupeana kick
Tena wengine wana multiple ID wanajianzishiaga uzi au kujitajataja tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hizi mada za dizaini hii sikuhiz zimekua nyingi kweli.. Chitchat hatuna cha kufikiria zaidi nje ya members! mara huyu hivi yule vile khaa!!
Watu mnapenda sana ujuaji, JF ina majukwaa kibao ukiona mada flani imekuboa unaipotezea sio lazima uchangie kila uzi.... kama wewe una kitu cha kuongelea tofauti na members unaruhusiwa kupost pia
Uzi una maudhui ya hili jukwaa na mtoa mada hajavunja sheria za hii forum, sasa wewe hapo kinachokukwaza ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…