Carrier??????Najua kila binadamu ana carrier yake wengine wako serious kama mimi na kuna wengine muda wote wao ni kufanya masihara na ucheshi wa hapa na pale.
Je nani ni mtu serious na mtu wa mizaha mingi Jamii forum?
Au ulimaanisha character?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Carrier??????Najua kila binadamu ana carrier yake wengine wako serious kama mimi na kuna wengine muda wote wao ni kufanya masihara na ucheshi wa hapa na pale.
Je nani ni mtu serious na mtu wa mizaha mingi Jamii forum?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kupaishana/kupeana kick
Tena wengine wana multiple ID wanajianzishiaga uzi au kujitajataja tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Good[emoji8]
Kweli kabisa.Jf sasa tumechoka kupost vitu vya msingi... Kuna mambo ya fb yanakuja jf.
Watu mnapenda sana ujuaji, JF ina majukwaa kibao ukiona mada flani imekuboa unaipotezea sio lazima uchangie kila uzi.... kama wewe una kitu cha kuongelea tofauti na members unaruhusiwa kupost piaHizi mada za dizaini hii sikuhiz zimekua nyingi kweli.. Chitchat hatuna cha kufikiria zaidi nje ya members! mara huyu hivi yule vile khaa!!
Ha haa jaribu hebugood nini na wewe au niwe adui yako??...aahaaa haa
Ulibanikwa wapi kwani leo?Abee!
Majukumu mpenzi, nilikuwa busy na watoto.Ulibanikwa wapi kwani leo?
Kesho uniite nikusaidie hayo majukumuMajukumu mpenzi, nilikuwa busy na watoto.
Valentina mbona umeadimika my love kutoka kilindi cha moyo. Humu jf
Hadi j3 tena, kesho ni mapumziko tu.Kesho uniite nikusaidie hayo majukumu
Eeeeh!![emoji15]Valentina mbona umeadimika my love kutoka kilindi cha moyo. Humu jf
Nikisoma unachoandika nakodoa kodo[emoji102] [emoji102]Eeeeh!![emoji15]
Eeeeh!![emoji15]
Honey!! Wivu umekujaa ama neneEeeeh!![emoji15]
Hiki ni kiswahili? Valentina nitafsirie lugha yako[emoji1]Nikisoma unachoandika nakodoa kodo[emoji102] [emoji102]
Bila shaka una usumaku katika maada ya macho inayopeleka kunasa kwa mapigo ya moyo kwenye uroto wa mguu.
Siko sirious =seriousCarrier??????
Au ulimaanisha character?
Yani we ndo umeadimika ndugu... Mie kila siku nimo humu tuValentina mbona umeadimika my love kutoka kilindi cha moyo. Humu jf