Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta game za Timu ya taifa zambia utapata jibu la swali lako. Ila kama ni shabiki maandazi ambae upo hapa kwa niaba ya ubishi kwa kheri.kuwepo si shida, shida anafanya nini? wapo wengi timu ya taifa ila tunakula(ga) 7
unaleta porojo tu hakuna mchezaji pale,Tafuta game za Timu ya taifa zambia utapata jibu la swali lako. Ila kama ni shabiki maandazi ambae upo hapa kwa niaba ya ubishi kwa kheri.
Basi mchezaji ni wewe yaishe.unaleta porojo tu hakuna mchezaji pale,
wanajifariji tu,yule bwana kupiga kigoli cha kubahatisha imekuwa manenooooo wakat uwezo kama ndugai tuUkiweka rekodi za Chama za kumzidi Ajibu nipigwe ban ya maisha.
mchezaji n ajibuBasi mchezaji ni wewe yaishe.
hahaahha utakesho kuzipata, tofauti na hapo utakuja twambia alipiga danadana mechi ya nkana
Ile timu itakuwa inafungwa hadi sasa tunahemea mipira kwa sababu Ajibu hayupoMkuu unadhani n sahihi kwa National Team yetu kumkosa mtu kama Ajibu?,Tuache mambo ya Usimba na Uyanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua utasema kiungo tegemeo kumbe kiungo tegemezi,hapo sawa tupo pamoja