Nani mchezaji bora kati ya Ajibu wa Yanga na Chama wa Simba?

Mkuu lugha gani tena hio? Sijaelewa.....Lisije likawa tusi
 
kuwepo si shida, shida anafanya nini? wapo wengi timu ya taifa ila tunakula(ga) 7
Tafuta game za Timu ya taifa zambia utapata jibu la swali lako. Ila kama ni shabiki maandazi ambae upo hapa kwa niaba ya ubishi kwa kheri.
 
Tafuta game za Timu ya taifa zambia utapata jibu la swali lako. Ila kama ni shabiki maandazi ambae upo hapa kwa niaba ya ubishi kwa kheri.
unaleta porojo tu hakuna mchezaji pale,
 
Hizi sasa dharau!!

Ajibu akirudi simba hachezi hata kikosi cha pili
 
Kila mtu anaumuhimu wake kwa timu yake na kwa nafasi anayocheza.
Ila mtazamo wangu kuna mambo mengi AJIBU anamzidi CHAMA. Kilichomkawiza AJIBU hakuwa amepata KOCHA anayeweza kumwambia UKWELI WA UHALISIA wa kipaji chake na jinsi ya kukitumikia kimletee yeye faida, timu yake na Taifa kwa ujumla. AJIBU wa sasa amempata ZAHERA na gari limeshika kasi.
 
Juzi nikiwa nawapinzani wetu niliwaambia Kipaji cha Ajibu akustaili kuwa apa alipo,

Zehera ajitaid kukisimamia ila Ajibu angepata watu wazuri zaid huko dunia ya pili na auishi mpira kweli yule jamaa ni mtu mwingine kabisa katika mchezo wa kutumia miguu......!

Nafikiri wote ni kama viungo na wote ni watu wa burudani ila kitakwimu kwa kuangalia ligi yetu ambao wote wanacheza Ajibu kamzidi mbali Chama....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…