Nani mdanganyifu na mdanganyaji kati ya mwanamke na mwanamme?

Nani mdanganyifu na mdanganyaji kati ya mwanamke na mwanamme?

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Na kwa nini umdanganye mwanammke siku ya mwanzo unapomtaka kwani utakapomueleza ukweli nini kitatokezea au unahofia nini? mimi sioni sababu ya kudanganya. na kama umesema mwanamke atakudanganya hapo mwanzo hata akiwa ndani basi ni same thing na mwanamme ikiwa atakudanganya hapo mwanzo basi aweza kukudanganya hata akisha kukuweka ndani kwani ajuwa tayari amekwisha kukumiliki na huwezi kutoka kirahisi

Mwanamke aliumbwa na udanganyifu : twakumbuka hata tangu za Adam na hawa , Hawa alimdanganya adam
kwa ukweli ukimwambia mwanamke ukweli siku ya kwanza hupati utakalo kwa kuwa mwanake huishi kwa udanganyi ndio mana hata kila asuhuhi huamka na kujipodoa kisha hujiona mzuri

Naona wanawake ndiyo wanaongoza
Wakuu mnasemaje hilo.........????????????
 
Ngoma droo!! Wote tuko sawa, hakuna aliyemzidi mwenzie
 
Back
Top Bottom