Nani mdhamini Pambano la timu Kiba vs Samata?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Azam wanaitangaza sana game ya Kiba vs Samata, nimejiuliza ni nani aliyefikiria kuleta game hii? Lengo lake nini? Kwanini watanzania hatupendi kuwa serious wakati mwingine? Tupo nyuma sana katika sanaa hii kwanini tunapenda kuleta u Comedy kwenye kila kitu? Kama ni lengo burudani Why basi isiandaliwe mechi ya kirafiki Kati ya Simba SC vs Genk ya Samata? Au game ya kirafiki Taifa stars vs Drc?
Ni kama wabongo hatujielewi wapi tulipo na wapi twaelekea ktk tasnia ya soka la dunia ...lini tutakua serious?
Niwapongeze tu Sportpesa kwa jambo zuri walilolifanya kwa kutuletea moja ya timu bora duniani. Huo ndiyo mfano tuliotakiwa tuufuate kuelekea soka la kimataifa.
 
Duuh we jamaa upo nyuma sana, vitu vingine ukiona hauvielew viache vikupite
Azam wanaitangaza sana game ya Kiba vs Samata, nimejiuliza ni nani aliyefikiria kuleta game hii? Lengo lake nini? Kwanini watanzania hatupendi kuwa serious wakati mwingine? Tupo nyuma sana katika sanaa hii kwanini tunapenda kuleta u Comedy kwenye kila kitu? Kama ni lengo burudani Why basi isiandaliwe mechi ya kirafiki Kati ya Simba SC vs Genk ya Samata? Au game ya kirafiki Taifa stars vs Drc?
Ni kama wabongo hatujielewi wapi tulipo na wapi twaelekea ktk tasnia ya soka la dunia ...lini tutakua serious?
Niwapongeze tu Sportpesa kwa jambo zuri walilolifanya kwa kutuletea moja ya timu bora duniani. Huo ndiyo mfano tuliotakiwa tuufuate kuelekea soka la kimataifa.
 
Hahaha,Hii mechi kamisaa,refarii au mgeni rasmi awe diamond ,au vipo
 
Simba vs Sevilla wengi tumeiona kupitia Supersport channel
Azam ambae ndiye mdau Pekee wa primera ligi -La liga hapa nchini ameshindwa hata kutupa tu highlights au hata uchambuzi wa game ile kwani palikua na mengi ya kujifunza Kwa ujio ule.. Tuliambiwa kungekua na clinic.... Nk tulitaka supersport ya South Africa waendelee na coverage? Kwa faida ya Nani? Hawa azam wameshindwa kuonyesha game ile sababu ya udhamini wa sport pesa eti watu wa kamari , mbona Simba, yanga, sevilla wote mdhamini ni huyohuyo sport peas? Lakini azam wanaonyesha mechi zao wote hao ktk ligi
Sasa Wamebakia kila saa Samakiba.... Samakiba..... Samakiba.... Mmeshindwa onyesha game ya maana..kweli mmeboa
 
Azam wanaitangaza sana game ya Kiba vs Samata, nimejiuliza ni nani aliyefikiria kuleta game hii? Lengo lake nini? Kwanini watanzania hatupendi kuwa serious wakati mwingine? Tupo nyuma sana katika sanaa hii kwanini tunapenda kuleta u Comedy kwenye kila kitu? Kama ni lengo burudani Why basi isiandaliwe mechi ya kirafiki Kati ya Simba SC vs Genk ya Samata? Au game ya kirafiki Taifa stars vs Drc?
Ni kama wabongo hatujielewi wapi tulipo na wapi twaelekea ktk tasnia ya soka la dunia ...lini tutakua serious?
Niwapongeze tu Sportpesa kwa jambo zuri walilolifanya kwa kutuletea moja ya timu bora duniani. Huo ndiyo mfano tuliotakiwa tuufuate kuelekea soka la kimataifa.
Sorry mkuu..pse forgive me.
You are hebetudinous
 
Simba vs Sevilla wengi tumeiona kupitia Supersport channel
Azam ambae ndiye mdau Pekee wa primera ligi -La liga hapa nchini ameshindwa hata kutupa tu highlights au hata uchambuzi wa game ile kwani palikua na mengi ya kujifunza Kwa ujio ule.. Tuliambiwa kungekua na clinic.... Nk tulitaka supersport ya South Africa waendelee na coverage? Kwa faida ya Nani? Hawa azam wameshindwa kuonyesha game ile sababu ya udhamini wa sport pesa eti watu wa kamari , mbona Simba, yanga, sevilla wote mdhamini ni huyohuyo sport peas? Lakini azam wanaonyesha mechi zao wote hao ktk ligi
Sasa Wamebakia kila saa Samakiba.... Samakiba..... Samakiba.... Mmeshindwa onyesha game ya maana..kweli mmeboa
[emoji3][emoji3] why unateseka mkuu.
Its just business.
Sio dawasco wale,hawapangiwiiii..
Wanaweza wasioneshe hata ligi wakaweka galactic football uamuzi ni wao
 
[emoji3][emoji3] why unateseka mkuu.
Its juat business.
Sio dawasco wale,hawapangiwiiii..
Wanaweza wasioneshe hata ligi wakaweka galactic football uamuzi ni wao
Sawa ndg wacha twende hivo hivo
 
Back
Top Bottom