Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
John Mrema aliyetimukia CHAUMMA akitikoea CHADEMA na kufanywa Mkurugenzi wa habari wa chama hicho alivyokuwa katika mahojiano hivi karibuni na Cza wa Clouds alisema mkakati mmojawapo wa CHAUMMA kushinda uchaguzi ni kumuweka mgombea urais mwenye ushawashi anayekubalika.
Ni nani huyo mwenye ushawashi mkubwa katika nchi kwa sasa anayeweza kuleta ushindani zaidi ya Askofu Gwajima ukiunganisha na hizi mbwembwe za kurusha helicopter katika kampeni zao?!
Ni nani huyo mwenye ushawashi mkubwa katika nchi kwa sasa anayeweza kuleta ushindani zaidi ya Askofu Gwajima ukiunganisha na hizi mbwembwe za kurusha helicopter katika kampeni zao?!