Nani mjanja kati ya hawa...

Joined
Jul 31, 2015
Posts
85
Reaction score
9
_mwalimu wa shule xxx aliingia darasani na kuanza kuwaulza maswali wanafunzi

_ebu niambieni huwa mkitoka shule mnakwenda wapi..

mwanafunzi wa 1:huwa nakwenda kwa micaely michael kuvuta bangi

mwanafunzi wa 2:huwa nakwenda kwa micaely michael kununua sigara

mwanafunzi 3:huwa nakwenda kwa micaely michael kuangalia picha za xxx

mwanafunzi wa 4:huwa nakwenda kwa micaely michael kununua madawa ya kulevya

mwanafunzi wa 5 wakike:huwa nakwenda kwa micaely michael kunifundisha mapenzi

mwanafunzi wa 6:huwa nakwenda kwa micaely michael kujifunza kupigana

mwanafunzi wa 7:huwa nakwenda kwa micaely michael kuchukua bangi na kwenda kuuza

mwanafunzi wa 8: huwa nakwenda nyumbani na kujisomea.

mwalimu_safi sana unaonekana una akili ebu niambie unaitwa nani...

mwanafunzi wa 8-naitwa micaely michael
***********************
UNGEKUWA WEWE NDIO MWALIMU UNGECHUKUA MAAMUZI GANI...


by: micaely michael 0716117373
 
ujinga mtupu hapo sioni logic katika mada yako, watu wengine inabidi mrudi shule mkafaid elimu bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…