Nani mkali kati hawa wanamuziki

Nani mkali kati hawa wanamuziki

ungesema nani kati ya hawa alikuwa mwanamziki mkali........

wengi wao wamekimbia fani!!!!!!!!!
 
Kiukweli Watu Wanaeza Kuona Gk Alikua Wa Kawaida Sanaaa... ila Kwa Mtu Anaejua Hip Hop Kwenye Kipengele Cha The art Of story Telling Sidhani Kama Anampinzani Kwa Tanzaniaaa.. maana Jay Mo Na Professor Nao N ma Story Teller Ila HawajamfikiaaaNa Mpaka Sasa Tumekosa Vjana wanao fanya Rap Ya story Telling
 
Ay hafit on that list!for rest,jaymoe mkare
 
kiukweli watu wanaeza kuona gk alikua wa kawaida sanaaa... Ila kwa mtu anaejua hip hop kwenye kipengele cha the art of story telling sidhani kama anampinzani kwa tanzaniaaa.. Maana jay mo na professor nao n ma story teller ila hawajamfikiaaana mpaka sasa tumekosa vjana wanao fanya rap ya story telling

mkuu profesa j ni level nyingine sana!!
 
Back
Top Bottom