hibiscus interior
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,168
- 595
Aiseeeee nimecheka sanaaaa.Wadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.
Hebu tuseme ukweli bila Chuki...
Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?
Wadau wajukwaa hili,

Yaani unalinganisha with you ya chris brown na mdogo mdogo ya diamond.. kweli? Kweli mapenzi ni upofu.
Hawezi fika level ya chriss brown yani huwezi kuwalinganisha hata siku moja
Niko pale pale texas unakaribishwa[emoji1]ushahama mji wewe?
Ahahahahaha ukweli mtupu mkuu!Duu sina chuki ila Diamond kwa Criss brown hapana aisee ,Diamond kwa Davido tu hapo Nigeria haingii achilia mbali huko duniani
Samahani Mkuu, nina swali la kukuuliza.Ndiyo mkuu, huna habari kuwa wameshinda ubunge hawa?
kwa taarifa yako Jay ni mbunge wa mikumi na Mr. 2 ni wa Mbeya mjini.
Eminem yeye si atakuwa anategemea show tu? na recently hana hata kibao kinachovuma.
Kama lugha inapanda asikilize pia na miziki yao.diamond amefanya vizuri, lakini hajamfikia Chriss Brown.....Kwa sababu Chriss Brown Yuko mbali sana, yani ingekuwa marks me ningetoa 20% kwa diamond na 80% Chris Brown....Jaribu kucheki show za Chris Brown, Halafu Cheki Show za Diamond! Utajua nini nasema
Niko pale pale texas unakaribishwa[emoji1]
Una akili timamu???Wadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.
Hebu tuseme ukweli bila Chuki...
Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?
How comes...hapo wewe ndio haupo sahihi, utamfananishaje Samatha na Messi? Messi anamataji mengi kisoka.
mambo yakuimba ni tofauti kidogo, yanahusu sauti na kucheza, who is good?
Sisi tuna akili, ila huyu mleta mada nahisi bichwa lake kajaza maji taka.Kesho mtatuambia nani mkali messi au samata watanzani hiv mnahakili kweli
Mimi sijawai kujua kama kuna haja ya kushindanisha mbingu na ardhi.... Nina imani Diamond atakuwa anatamani kuwa kama the hit singer wa...beautiful people, with you, gimme that, fine China, now days wako na tyga ndo balaa,....hits kama Loyal, marijuana......Ayo, Dueces, Frame up, they think they know....ebu tuache mahaba......hiyo dar hata kwa Nairobi hatii mguu......Ni sawa na kusema Dar Na Newyork ipi Ina majengo ya hatari?...wakati dar haikai hata kwa johunsburg ya Kwa Madiba(I dont know well to write it)