Nani Mkali kati ya Diamond na Chris Brown?

Nani Mkali kati ya Diamond na Chris Brown?

Wadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.

Hebu tuseme ukweli bila Chuki...

Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?
Aiseeeee nimecheka sanaaaa.
 
Wadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.

Hebu tuseme ukweli bila Chuki...

Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?

Yaani unalinganisha with you ya chris brown na mdogo mdogo ya diamond.. kweli? Kweli mapenzi ni upofu.
 
Hawezi fika level ya chriss brown yani huwezi kuwalinganisha hata siku moja
 
Babu tafuta mkinganisho sahihi diamond huwezi kumlinganisha na brown ulimwengu mbili tofauti diamomd laki 8 ndio brown mmoja
 
Sasa wewe unashindanisha mwendokasi wa baskeli na pikipiki
 
Ndiyo mkuu, huna habari kuwa wameshinda ubunge hawa?

kwa taarifa yako Jay ni mbunge wa mikumi na Mr. 2 ni wa Mbeya mjini.
Eminem yeye si atakuwa anategemea show tu? na recently hana hata kibao kinachovuma.
Samahani Mkuu, nina swali la kukuuliza.
Hivi unavuta bangi!!??
 
diamond amefanya vizuri, lakini hajamfikia Chriss Brown.....Kwa sababu Chriss Brown Yuko mbali sana, yani ingekuwa marks me ningetoa 20% kwa diamond na 80% Chris Brown....Jaribu kucheki show za Chris Brown, Halafu Cheki Show za Diamond! Utajua nini nasema
Kama lugha inapanda asikilize pia na miziki yao.
 
Wadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.

Hebu tuseme ukweli bila Chuki...

Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?
Una akili timamu???
 
How comes...hapo wewe ndio haupo sahihi, utamfananishaje Samatha na Messi? Messi anamataji mengi kisoka.

mambo yakuimba ni tofauti kidogo, yanahusu sauti na kucheza, who is good?


Kwani mpirs nao c unahusu jinsi ya kuuchezea na viungo vyote kasoro kutumia tu mkono... So unapoona kuwa CB ni sawa kumlinganisha na Diamond basi haina tofauti kumlinganisha Samatta na Messi
 
Ni sawa na kusema Dar Na Newyork ipi Ina majengo ya hatari?...wakati dar haikai hata kwa johunsburg ya Kwa Madiba(I dont know well to write it)
Mimi sijawai kujua kama kuna haja ya kushindanisha mbingu na ardhi.... Nina imani Diamond atakuwa anatamani kuwa kama the hit singer wa...beautiful people, with you, gimme that, fine China, now days wako na tyga ndo balaa,....hits kama Loyal, marijuana......Ayo, Dueces, Frame up, they think they know....ebu tuache mahaba......hiyo dar hata kwa Nairobi hatii mguu......
 
Mleta mada hata kama tumeambiwa tupende vya kwetu lakini ukweli utabaki pale pale. Sijajua ulichokiandika unakimaanisha au unataka baraza tu. Sidhani hata diamond atafurahishwa na kitendo cha wewe kumlinganisha na chris brown kwa kuimba na kwa kucheza, usidanganyike na followers kwenye insta au utitiri wa tuzo ambazo mtu anavote zaidi ya mara 20 kwa siku. Siku nyingine usirudie tena kumdhalilisha huyo diamond wako.
 
Back
Top Bottom