Eeh baba mzaziiii!![emoji16][emoji16]Baba mzazi.. Eeeh baba
...Kwenu wadau wa Soka
Haruna Niyonzima na Clatous Chama..
Hawa ni Wachezaji ambao Wamejibebea Umaarufu Mkubwa kutokana na Uwezo wao wa Kucheza Soka la KIWANGO cha Juu katika Ligi Yetu ya Tanzania.
Mkuu Chama sio mchezaji wa kawaida
Viungo Hawa wamekuwa wakiwapa Matumaini Mashabiki wa Timu zao hasa wanapoanza katika kikosi na kufanya Mambo makubwa ndani ya Uwanja na kupelekea Timu pinzani kuonekana Kama wanaonewa na Kunyanyaswa na Wachezaji hao.
= Leo Tujue Kati ya Clatous Chota CHAMA (Mwamba wa Lusaka) na Haruna Hakizimana NIYONZIMA (Baba mzazi) JE NANI NI MCHEZAJI BORA ZAIDI.
"Soka ni Mchezo wa Wazi"
Haruna Niyonzima?Kwenu wadau wa Soka
Haruna Niyonzima na Clatous Chama Hawa ni Wachezaji ambao Wamejibebea Umaarufu Mkubwa kutokana na Uwezo wao wa Kucheza Soka la KIWANGO cha Juu katika Ligi Yetu ya Tanzania.
Viungo Hawa wamekuwa wakiwapa Matumaini Mashabiki wa Timu zao hasa wanapoanza katika kikosi na kufanya Mambo makubwa ndani ya Uwanja na kupelekea Timu pinzani kuonekana Kama wanaonewa na Kunyanyaswa na Wachezaji hao.
= Leo Tujue Kati ya Clatous Chota CHAMA (Mwamba wa Lusaka) na Haruna Hakizimana NIYONZIMA (Baba mzazi)
JE, NANI NI MCHEZAJI BORA ZAIDI.
"Soka ni Mchezo wa Wazi"
Hata jinsi ulivyoandika tu ni kama ulianza kujihami maana jibu ulilolitoa ulijua si la kweliKwa walioanza kuangalia mpira juzi utawasikia wanasema triple C.
Ila Niyonzima kwa wanaomfahamu aisee acha aitwe Haruna Niyonzima kwa kipindi chake.
Kwenu wadau wa Soka
Haruna Niyonzima na Clatous Chama Hawa ni Wachezaji ambao Wamejibebea Umaarufu Mkubwa kutokana na Uwezo wao wa Kucheza Soka la KIWANGO cha Juu katika Ligi Yetu ya Tanzania.
Viungo Hawa wamekuwa wakiwapa Matumaini Mashabiki wa Timu zao hasa wanapoanza katika kikosi na kufanya Mambo makubwa ndani ya Uwanja na kupelekea Timu pinzani kuonekana Kama wanaonewa na Kunyanyaswa na Wachezaji hao.
= Leo Tujue Kati ya Clatous Chota CHAMA (Mwamba wa Lusaka) na Haruna Hakizimana NIYONZIMA (Baba mzazi)
JE, NANI NI MCHEZAJI BORA ZAIDI.
"Soka ni Mchezo wa Wazi"
Mkuu ngoja tumuone huyu bwalya.....kwa East Afrika hakuna kiungo wa kumlinganisha na chama, tulimwona Nyonzima alipokuwa Simba bado alishindwa kufikia hta robo ya Chama kwa kifupi kwa sasa Chama hana mpinzani,