Nani mkali kati ya Haruna Niyonzima na Clatous Chama?

Nani mkali kati ya Haruna Niyonzima na Clatous Chama?

Kwenu wadau wa Soka

Haruna Niyonzima na Clatous Chama Hawa ni Wachezaji ambao Wamejibebea Umaarufu Mkubwa kutokana na Uwezo wao wa Kucheza Soka la KIWANGO cha Juu katika Ligi Yetu ya Tanzania.

Viungo Hawa wamekuwa wakiwapa Matumaini Mashabiki wa Timu zao hasa wanapoanza katika kikosi na kufanya Mambo makubwa ndani ya Uwanja na kupelekea Timu pinzani kuonekana Kama wanaonewa na Kunyanyaswa na Wachezaji hao.

= Leo Tujue Kati ya Clatous Chota CHAMA (Mwamba wa Lusaka) na Haruna Hakizimana NIYONZIMA (Baba mzazi)

JE, NANI NI MCHEZAJI BORA ZAIDI.

"Soka ni Mchezo wa Wazi"
Nimesikia wakila pili pili Haruna anakuwa mkali zaidi ila akivutishwa bangi anasinzia tu, anakuwa hana ukali wowote...anabaki kutokwa na udenda tu.
 
Chama anaendelea kuhusika katika goli la Simba.

Pasi ya goli la Bocco Vs Mbeya city
 
Back
Top Bottom