Haya mambo ndio siyatakagi yaani badala ya ku-support kazi zao za kutuburudisha tunataka kuwafananisha na kuanzisha matimu. Kila mtu ana test yake kuna test ya Fid na Test ya Joh na daima hawawezi kuwa sawa lakini wote wanatuburudisha tuwashukuru
Daah ni vema ukamweka Joh makini na watu wa kariba yake.. Kuliko kufananisha na Fid Q nikama unambaka vile.. Kwa Joh makini hapo muweke one incredible au stereo kidogo inamake sense