funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Haya mambo ndio siyatakagi yaani badala ya ku-support kazi zao za kutuburudisha tunataka kuwafananisha na kuanzisha matimu. Kila mtu ana test yake kuna test ya Fid na Test ya Joh na daima hawawezi kuwa sawa lakini wote wanatuburudisha tuwashukuru