Nani mkali kati ya Joh Makini na Fid Q?

Nani mkali kati ya Joh Makini na Fid Q?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Je, ni nani zaidi kati ya mafahari hawa wawili?
 
kuna jamaa mwingine ana mashairi ya aina yake sana anaitwa "Stamina"
 
Ndio ukweli ulivyo kwa sasa.
Ilinichukua muda kwenye miaka ya 2010 wakati huo Wasanii hawa wawili wakiwa katika ushindani mkubwa.

Ilinipa wakati mgumu kutambua ni nani, yupi mkali juu ya mwingine.

Kwa sasa siumizi kichwa tena.
Joh kaonesha njia kwa FID Q, amechoka, hana mpya, haimbi HIP HOP kwa sasa..

Ubishi wa nani zaidi umemalizwa.
 
Fid ana heshma ake sema nawaza anakoelekea joh na hip hop comercial yake
 
Haya mambo yalishindwa kumaliza utata kati ya HOV na Nas.

Rapper mkali katika nini?
Ukali wao unatakiwa ushindanishwe vipi? Kwa kura?

Mafanikio? Lyrics?

Kura zikapigwa Nas akashinda bado watu wakasema ni the so called " weaker anaposhindanishwa na mkali mashabiki wanamwonea huruma weaker".

Haya mambo magumu..ni kutoa matokeo kiushabiki tu.
 
Safi sana mzee
 
Wakati naskia inatoka nilikuwa-curious kuona nas anaflow kwenye raggae beats nishuhudie anavyomezwa na Gong ila jamaa alifanya poa...
Dispairs, tribal war, as we enter...
Nas ni hatari sana kwenye kuchezea maneno vp kuhusu Joh makini huoni anapwaya kwa sasa hata kama kabadilika kuendana na soko
 
Nas ni hatari sana kwenye kuchezea maneno vp kuhusu Joh makini huoni anapwaya kwa sasa hata kama kabadilika kuendana na soko
Joh anaondoka na soko na siye yeye tu hata fid,Jay Mo,..

Kina songa nao limeshawabeba.. nafikiri ni trends za music tu kama zamani mashairi yalivyopitia..

-Classical
-victorian
-modernism
 
Back
Top Bottom