Nani mkali kati ya mume na mke?

SALOK

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
3,629
Reaction score
2,310
Baada ya ugomvi wa muda mrefu, mke alianza kukusanya nguo na vitu vyake vingine tayari kwa kuondoka, mume akamuuliza mbona wakusanya vitu unaenda wapi? Mke, akajibu kwa ufupi, 'naenda kwa mama!' kuona hivyo mume nae akaanza ukusanya vitu vyake, ndipo mke akamuuliza kwa ukali! 'sasa na wewe unaenda wapi?' kwa upole mume akajibu, naenda kwa mama pia! Mke akauliza tena akiwa ameghadhibika! 'watoto hawa wataishi na nani sasa? Mume akajibu! Na wao waende kwa mama yao!
 
mume alitakiwa aseme nakwenda nyumba ndogo
 
looooh..mwisho uta sikia..yaishe mume wangu mpenzi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…