Nani mkali: Luis Jose Miqsonne Vs Mbwana Samata


Kwa sifa zote hizo.. ilikuaje akakosa namba katika timu ya africa, mamelodi sundowns?

Unajua kama samatta ashaingia katika all africa team..

Na samatta ameshashinda taji la mchezaji bora wa africa nzima
 
Vitu vingine bahati tu, Kisinda ametoka As vita kuja yanga, Ambokile yupo Mazembe Chama yupo Simba... sometimes maisha hayapo fair

Hujajibu swali lakini, fundi luis alikosaje namba mamelodi? Je alishawai kupangwa hata mechi moja mamelodi.. maana hao uliowataja angalau waliwai kupangwa
 
Mimi nikiwa na timu nikaambiwa nisajili mchezaji mmoja Kati ya mikson na samatta nitamsajili mikson.
Usiniulize kwanini??
 
View attachment 1583630
Miqsonne

View attachment 1583631
Samata

Bila kujali timu wanazochezea. Bila kujali nafasi wanazocheza. Kwa kuangalia viwango vyao kwa kuzitendea haki nafasi zao katika timu; nani mkali kati ya Samata na Miqsone
Kiukweli hujamtendea haki Mbwana Samatta japo amepitia simba ungekuwa na heshima kidogo naye .

Yule amefanya mambo makubwa Afrika na Ulaya Leo uje umlinganishe na mchezaji mdogo kama Luis sijui nani hata hapa tu Tanzania kwa mpira wetu ambao bado haujulikani ulimwenguni huwezi mlinganisha na Chama.
 
Mimi Kama shabiki wa Simba SC, nasema Kwanza tusimchukulie rahisirahisi Samatta, Ni mchezaji aliyeshinda tuzo ya CAF CL akiwa Tout Puissant Mazembe, pia alikuwa mchezaji Bora katika club ya KRC Genk,

Samatta is another level, heshima yake tumpe!

Luis Miquissone kwa ligi ya Tanzania Ni Bora kuliko winga yeyote lakini siyo wa kumlinganisha na Samagoal.
 
Kwa soka la sasa la Afrika mchezaji bora siyo rahisi kucheza ligi ya Tz,,anaweza akacheza lakini hawezi kudumu muda mrefu kabla ya kunyakuliwa na Vilabu wababe wa Soka la Afrika kutoka nchi za Misri,A.Kusini,Morrocco,Tunisia na hata DRC

So kama kweli huyo Luis ana ubora unaoamini, Simba hawana ubavu wa kukataa ofa ya sh.500 mil ili wamuachie wakati zawadi ya bingwa wa ligi ni sh.100 mill.na huyo Luis hawezi kukataa kwenda sehemu atakayolipwa sh. mil.25 kwa mwezi akomae kukaa Simba anapolipwa sh.mil.8 kwa mwezi

Tukubali tukatae wachezaji wa nje wanaokuja kwenye kwenye ligi yetu ubora wao ni wa kawaida sema wanaonekana wakali kutokana na udhaifu wa ligi yetu

So kumlinganisha Luis na Samatta aliyechezea TP Mazembe wakachukua ubingwa wa Afrika naye akawe mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa ndani,na baada ya hapo akacheza ligi kuu Ubelgiji,Uingereza na sasa Uturuki ni kumkosea heshima
 
View attachment 1583630
Miqsonne

View attachment 1583631
Samata

Bila kujali timu wanazochezea. Bila kujali nafasi wanazocheza. Kwa kuangalia viwango vyao kwa kuzitendea haki nafasi zao katika timu; nani mkali kati ya Samata na Miqsone
Tukiangalia history, Mbwana kamuacha mbali kabisa Luis, amewahi kuwa mchezaji bora Africa ligi ya ndani, amechezea timu Bora ya Africa kipindi hicho Mazembe, ameshinda mataji mengi makubwa yakwemo club champions Afrika, Congo na Ubelgiji, amechezea champions league Ulaya, amecheza premier league England, amezifunga Liverpool na Man City nk. Lakini kwa Sasa hivi Mbwana huyu mwenye umri wa miaka 31+ na siyo 27 Kama passport yake inavyosoma kiwango chake kimeshuka, Hana Kasi ya kumfikia Luis, hawezi kutumia miguu miwili kwa ufanisi wa kumfikia Luis, kifupi kwa Sasa hivi form ya Luis ipo juu sana kulinganisha na ya Samata, ndani ya miaka 2 ijayo namuona Luis atakuwa Ulaya na Samata atakuwa arabuni, america au afrika
 
Labda ulaya ya gongo la mboto.
Huyo Luis hata mamelodi alifeli ndo kakimbilia huku.
Hakuna mchezaji mzuri aje kucheza bongo
 
Luis na Suvan unachekesha .....Suvan anawafunga Waydad Casablanca acha mahaba
 
Yaan mikia huwa mnautundio was ubongo kabisa😂😂 Sasa huyu unayemfananisha na samatta kacheza ligi gani kubwa hapa Afrika?? Mamerodi alikuwa mfua jezi katoka kwa mkopo mkamuokota ud song!!

Kulinganisha mchezaji wa UEFA na ligi ya Tanzania ni utahira uliokutopea. Ndio maana Dr anawakulaga 071 nyie mikia na msemaji wenu fyatuuuu
 
Haki yenu kuitwa mbumbumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…