brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Haya twende na mistari inayoijua...
"Mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu yashaninda sasa itabidi nilelewe siwezi kung'ang'nia maana sio fungu langu japo ni shida ntabaki mwenyewe"
"Jamani nataka saule, Kama mapenzi gharofa yamejaa kariakoo me namapenzi tele kama kwetu kule"
" ooh usiniulize kwanini kwasababu utanizingua ukitaka jiunge na mimi kama ni pesa we kunywa me ntanunu"
" jina langu ali sasa lazima nilee , nikikosa kula na wewe ndo chakula ntakonda mazima..."
"Kwanza mapenzi safari ujana maji ya moto , walinenaga zamani, pili tumetoka mbali kwa matatizo changamoto , visa visa fulani.."
" mali ni nyingi nyumbani kipi kimekukimbiza , ona babio mamio wote wanakulilia, mtoto peke yako nyumbani kipi kimekukimbiza..."
Haya twende na wewe mistari yako....