Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Mi nampa Mex jamaa anajua anabadilika style nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupata vyema mkuu.Mex cortex kwa rap ya lugha ya kingereza ni mkali sana, hapo namsimamisha jukwaa moja na wakazi
Mawenge ni mwandishi mzuri tena anapangilia vina vyenye wembe mkali, cheki ile "yes bana challenge" alivyotumia ufundi au ile "na mimi" aliyopiga na jux utanielewa
Kitu kingine mex alichomzidi mawenge ni uwezo wa ku-freestyle na uzuri hata mawenge hapingi hili.
Ila kwa ngoma zilizoenda shule flow matata na ukicheki na lyrical zimepangilika hapo credit moja kwa moja naipeleka bombronxy kwa mawenge, kwa point hiyo mawenge ni mkali sio tu mimi hata mex ana admit hilo