brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Unajipa promo. Sawa mkuuHamna kisingeli bongo bila MSAGA SUMU yaani ni kama bongo social media bila le mbabazz
Upo sahihi kabisa wote hao watumiaji wa ngadaMsaga sumu ndio mambo yote hapo wengine hao ni wanafwata njia ambayo ameshaianzisha msaga sumu. Halafu ni macho yangu au mbona waimbaji wenyewe karibia wote ni kama vile wanatumia jani la jamaica
Yaaani wamezeeka wkt bado umri mdogoUpo sahihi kabisa wote hao watumiaji wa ngada
Duh yaan mi mwenyew nimeshtuka nimerudia kama mara tatu kusoma kichwa cha habar yaan wamechoka hatarYaaani wamezeeka wkt bado umri mdogo
Mbona hujamweka John Pondwa Maubabez (JPM) wa mtaani kwetu?Haya sasa kwa wale wapenzi wa singeli na wasio wa singeli njoeni mtoe mawazo yenu ya kuwa nan ni mkali zaidi wa singeli hapa bongo
A:Man Fongo
View attachment 403162
B:Skide
View attachment 403163
C:Mwanadada young yuda
View attachment 403166
View attachment 403167
View attachment 403168
D:Shollo mwamba
View attachment 403169
E😀oggo nigga simela
View attachment 403170
F:Msaga sumu
View attachment 403171
View attachment 403172
G:Mczo
Je yupi ni mkali kati ya hao na pia ipi singeli ya ukweli hizi za siku hizi wanazofanya kwa messen selekta kaka jambazi au zile singeli za hapo awali
Mwanzilishi ni JPMMsaga sumu si ndo mwanzilishi hapo.
Halafu kuna dogo anaitwa Mc Dullah makabila, ansikika sana Efm ndo namkubali.
Si amini kama man4ongo atakuwepo kwa muda mrefu juu. Pia toka aende mawingu sija msikiliza sana.