Nani mkali wa singeli hapa Tanzania?

Nani mkali wa singeli hapa Tanzania?

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Haya sasa kwa wale wapenzi wa singeli na wasio wa singeli njoeni mtoe mawazo yenu ya kuwa nan ni mkali zaidi wa singeli hapa bongo

A:Man Fongo

1474293014972.jpg

B:Skide

1474293073991.jpg

C:Mwanadada young yuda

1474293136022.jpg

1474293149180.jpg

1474293165281.jpg

D:Shollo mwamba

1474293193206.jpg

E😀oggo nigga simela

1474293242720.jpg

F:Msaga sumu

1474293327388.jpg

1474293337891.jpg

G:Mczo

Je yupi ni mkali kati ya hao na pia ipi singeli ya ukweli hizi za siku hizi wanazofanya kwa messen selekta kaka jambazi au zile singeli za hapo awali
 
Msaga sumu si ndo mwanzilishi hapo.

Halafu kuna dogo anaitwa Mc Dullah makabila, ansikika sana Efm ndo namkubali.

Si amini kama man4ongo atakuwepo kwa muda mrefu juu. Pia toka aende mawingu sija msikiliza sana.
 
Msaga sumu ndio mambo yote hapo wengine hao ni wanafwata njia ambayo ameshaianzisha msaga sumu. Halafu ni macho yangu au mbona waimbaji wenyewe karibia wote ni kama vile wanatumia jani la jamaica
Upo sahihi kabisa wote hao watumiaji wa ngada
 
Haina ubisho, Msaga Sumu ndo baba lao, wengine watapndoka na upepo very soon maana wanavyoimba ni tofauti na msaga sumu, msingi wa kina mangongo, shollo mwamba etc unafanana mpaka unashindwa jua ni nani kaimba, pua neno eeeh baba eeh baba eeeeeeh bana sijui ndo nembo ya singeli!!!
Msaga sumu hana mpinzani.
 
Haya sasa kwa wale wapenzi wa singeli na wasio wa singeli njoeni mtoe mawazo yenu ya kuwa nan ni mkali zaidi wa singeli hapa bongo

A:Man Fongo

View attachment 403162

B:Skide

View attachment 403163

C:Mwanadada young yuda

View attachment 403166

View attachment 403167

View attachment 403168

D:Shollo mwamba

View attachment 403169

E😀oggo nigga simela

View attachment 403170

F:Msaga sumu

View attachment 403171

View attachment 403172

G:Mczo

Je yupi ni mkali kati ya hao na pia ipi singeli ya ukweli hizi za siku hizi wanazofanya kwa messen selekta kaka jambazi au zile singeli za hapo awali
Mbona hujamweka John Pondwa Maubabez (JPM) wa mtaani kwetu?

Huyu ndio muasisi wa singeli Tanzania ila tu hakupata umaarufu mapema.
 
Msaga sumu si ndo mwanzilishi hapo.

Halafu kuna dogo anaitwa Mc Dullah makabila, ansikika sana Efm ndo namkubali.

Si amini kama man4ongo atakuwepo kwa muda mrefu juu. Pia toka aende mawingu sija msikiliza sana.
Mwanzilishi ni JPM
 
Kiboko yao ni Msaga sumu lakini walio ijua singeli kupitia haina ushemeji watasema Man fongo
 
Back
Top Bottom