Nani mkali wa singeli hapa Tanzania?

mfalme ni msagasumu kaptain sholo mwamba assistant captain ni manfongo wengne ni wachezaji tu
 
masela huku kwetu bananaaaaaa[emoji446]
wahuni huku kwetu virobaaaaaaa[emoji446]

napenda singeli sikariri waimbaji
 
Msaga sumu ndio mambo yote hapo wengine hao ni wanafwata njia ambayo ameshaianzisha msaga sumu. Halafu ni macho yangu au mbona waimbaji wenyewe karibia wote ni kama vile wanatumia jani la jamaica
Msaga sumu haimbi kisingeli,anaimba style tofauti
Kisingeli kimepata jina kutokana na style ya uchezaji ambayo inatokana na aina ya beat inayoenda speed then mtu ana rap maneno
Kiufupi unaweza sema Msaga Sumu anaimba ila wakina man fongo wana rap
Kwa maana hiyo msaga sumu atabaki kuwa mfalme wa mziki wa uswazi lakin sio mfalme wa kisingeli
 
Huu muziki utaja pigwa marufuku mbeleni huko. Ni mtazamo wangu tu lkn
 
Msaga sumu. Wengne wanaiga tyu alipiga sana visingeli kitambo mtaani nakumbuka sana ukiwa na shughul unamuita
 
Mczo
Kibo
Simela

Hawa ndio wataalamu na hupendwa sana na wahuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…