Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
dooooooooooooooh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu singeli za sasa zimetilewa sana na mashemeji, maana hit nyingi za singeli zima ushemeji!Kiboko yao ni Msaga sumu lakini walio ijua singeli kupitia haina ushemeji watasema Man fongo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mwanzilishi ni JPM
Dogo niggaaliyeimba mida ya kubeti ni nani?
Kalikuwa kanaomba namba yako ya simu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hako kademu kamekomaa
Msaga sumu haimbi kisingeli,anaimba style tofautiMsaga sumu ndio mambo yote hapo wengine hao ni wanafwata njia ambayo ameshaianzisha msaga sumu. Halafu ni macho yangu au mbona waimbaji wenyewe karibia wote ni kama vile wanatumia jani la jamaica
[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]Mwanzilishi ni JPM